Tanzania

Wahimizwa kupanda na kutunza miti

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dk Khatibu Kazungu amewataka wadau wa mazingira kushiriki katika upandaji na…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Tunaleta majibu ya tozo

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema wizara hiyo imepokea maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan na Chama…

Soma Zaidi »

Mahakama yakataa kuendeshwa na ofisi ya DPP

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro imesema mahakama inaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo ofisi ya Mwendesha Mashitaka (DPP)…

Soma Zaidi »

Polisi wengine Arusha wadaiwa kupora mil 6/-

POLISI wanne mkoani Arusha wanadaiwa kumpora mfanyabiashara wa mazao Sh milioni sita. Hali hiyo imejitokeza zikiwa zimepita siku kadhaa baada…

Soma Zaidi »

Ummy amshukuru Samia bima ya afya kwa wote

WIZARA ya Afya imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia pendekezo la kutunga Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aeleza mabadiliko sheria ya Kadhi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ana matumaini kuwa mabadiliko ya Sheria ya Makadhi yataondoa utata na migongano ya…

Soma Zaidi »

Samia: Soko Afrika linufaishe wanawake, vijana

RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika zitoe kipaumbele katika maeneo yanayogusa wanawake na vijana wakati wa utekelezaji Mkataba…

Soma Zaidi »

Kongamano la wanawake fursa za uchumi, utalii laja

TAASIS ya wanawake Lakimoja  imepanga kuwafikia wanawake nchini na kuwaelimisha kuhusu fursa ambazo hawajazifikia, lengo likiwa ni  kukuza uchumi wao…

Soma Zaidi »

Mbaroni akidaiwa kukutwa na meno ya tembo Arusha

POLISI mkoani Arusha inamshikilia Reginald Ambros (42) maarufu kama Amsi kwa kukutwa na vipande viwili vya meno ya tembo. Taarifa…

Soma Zaidi »

‘Waelimisheni wanawake wajiunge majukwaa  ya uwezeshaji’

SERIKALI imezindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi, wenye lengo la kuleta ufanisi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button