Tanzania

Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere yazinduliwa Dar

SERIKALI imezindua rasmi tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha…

Soma Zaidi »

DC Msando: Hakuna mwandishi atakayenyanyaswa

MKUU wa Wilaya ya Morogoro,  Albert Msando amewataka waandishi wa habari, kufanya kazi zao kwa kufuata sheria, taratibu na weledi…

Soma Zaidi »

Ruvuma wana akiba ya kutosha ya chakula

MKUU wa Mkoa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amesema mkoa huo una akiba ya chakula kutosheleza wananchi wake na kwamba kwa…

Soma Zaidi »

LATRA yashughulikia changamoto taxi mtandao

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema wanaendelea kushughulikia changamoto za huduma za teksi mtandao,…

Soma Zaidi »

Walimu kortini kwa kufyatua vyeti feki

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Arusha, imewakamata na kuwafikisha mahakamani walimu wawili wa shule ya…

Soma Zaidi »

‘Wazungu wa Unga’ watakiwa kujisalimisha Tanga

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omari Mgumba, amewataka wafanyabiasha wanaojihusisha na biashara haramu za magendo na dawa za kulevya ‘Wazungu…

Soma Zaidi »

Vijana waja kivingine changamoto ya ajira

VIJANA kutoka vyuo vinne nchini, wamesema suala la ajira halitakuwa changamoto kwao, baada ya kupata mafunzo yatakayowawezesha kuanzisha biashara, kuendeleza…

Soma Zaidi »

Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye mkutano wa wafanyabiashara wanawake Afrika.

Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Shirika Huria la Biashara Barani Afrika (AfCFTA) kuwajengea uwezo wanawake na vijana kwa kuwapatia elimu…

Soma Zaidi »

DC akiri kupokea bil 2/- za miamala kuboresha afya, elimu

MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga amesema wamepokea Sh bilioni mbili  kutoka serikalini zilizotokana na tozo za…

Soma Zaidi »

Wadau walalamikia Kigoma kubadili matumizi maeneo wazi

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imelalamikiwa kwa kubadili matumizi ya awali ya maeneo ya wazi na yaliyotengwa kwa ajili…

Soma Zaidi »
Back to top button