Tanzania

Awamu ya pili udahili vyuo vikuu yafunguliwa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imekamilisha awamu ya kwanza ya udahili kwa ngazi ya shahada ya kwanza katika taasisi…

Soma Zaidi »

Huduma za kibingwa MOI kutolewa Mtwara

HUDUMA za kibingwa za Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zitaanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya…

Soma Zaidi »

Ushetu wajipanga ukarabati wa barabara

HALMASHAURi ya  Ushetu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga,  imetenga jumla ya Sh Millioni 20 katika bajeti ya mwaka 2022/2023  kwa ajili…

Soma Zaidi »

Ofisa mipango adaiwa kubaka mtoto kwenye gari

OFISA Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Dickson Mwenda (37) amepandishwa kizimbani akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka 15…

Soma Zaidi »

Karani ahesabu kaya moja kutwa nzima, akutwa bwiii!

WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma. Mratibu wa Sensa…

Soma Zaidi »

One Acre Fund kuchagiza usambazaji pembejeo za ruzuku

IDADI ya wakulima wanaonufaika na pembejeo zinazosambazwa na Kampuni ya One Acre Fund Tanzania Ltd katika mikoa ya Nyanda za…

Soma Zaidi »

Wachoshwa na mwekezaji, wataka umeme wa Tanesco

WANAKIJIJI wa Malangali Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya umeme wa Tanesco kutokana na wanaoutumia hivi…

Soma Zaidi »

Wanasayansi wabaini mimea ya asili ya ‘kutibu’ pilipili manga

WANASAYANSI wamebaini uwepo wa mimea ya asili inayoweza kudhibiti ugonjwa wa mnyauko na udondoshaji vikonyo vya matunda kwenye zao la…

Soma Zaidi »

Serikali, wadau kupunguza tatizo la ‘watoto wa mitaani’

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha inapunguza tatizo la watoto…

Soma Zaidi »

Vipande vitano SGR vyatoa ajira 96,000

UJENZI wa reli ya kisasa ya SGR unategemewa kuchochea maendeleo katika sekta ya kilimo, biashara, madini na viwanda huku serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button