Tanzania

Askari wanafunzi 186 wafukuzwa, 4122 wakihitimu moshi

JUMLA ya Askari 4,122 kati ya wanafunzi 4,310 wamehitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi…

Soma Zaidi »

Soko Kuu Mwanza katika hatua za mwisho kufunguliwa

UJENZI wa Soko Kuu katikati ya Jiji la Mwanza umefikia asilimia 80 huku kazi ikiendelea kwa kasi kuhakikisha kwamba linaanza…

Soma Zaidi »

Ahimiza wananchi kuendelea na sensa

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Ahmed Abbas amehimiza wananchi mkoani humo wahesabiwe kwa kuwa kazi hiyo inaendelea. Abbas alisema jumatano…

Soma Zaidi »

JKT yatangaza nafasi za mafunzo yakujitolea

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limefungua rasmi usajili wa vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na Jeshi hilo kwa…

Soma Zaidi »

Mpango aagiza mifuko ya plastiki kukamatwa

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuanzwa kwa operesheni ya kukamata na kuzuia mifuko ya plastiki nchini, inayochangia kurudisha…

Soma Zaidi »

Muheza, Tanga kuboresha huduma ya maji

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa mazingira Tanga, imeingia mkataba wa Sh Bil 3.1 na  Kampuni  inayosimamia ujenzi wa Bomba…

Soma Zaidi »

Shigella: Nitafuatilia kila senti fedha za miradi

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesema ofisi yake imejipanga kufuatilia, kupitia na kuweka mikakati thabiti ya usimamizi na…

Soma Zaidi »

Tanga Uwasa, EACOP kuboresha upatikanaji maji Muheza, Tanga

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga imeingia mkataba na  kampuni  inayosimamia ujenzi wa Bomba la mafuta (EACOP) wenye…

Soma Zaidi »

SMS ya kujifanya bosi wa usalama yamtupa jela

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kamguluki mkoani Mara kifungo cha miaka mitatu jela…

Soma Zaidi »

Aliyebaka na kumuua binti kufia gerezani

MAHAKAMA ya Rufaa imetupa rufani iliyowasilishwa na mkazi wa Mkoa wa Mara, Matiko Chandruku ya kupinga kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifo…

Soma Zaidi »
Back to top button