Zanzibar

Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika…

Soma Zaidi »

Mkutano kilimo, teknolojia kuanza kesho Z’bar

ZANZIBAR; Mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu kilimo na teknolojia utafanyika kesho visiwani Zanzibar ukijadili uwekezaji katika sekta ya kilimo…

Soma Zaidi »

Arafat wa Yanga, Mkurugenzi mpya PBZ

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali na Mashirika ya Umma yaliyo…

Soma Zaidi »

Wanne mbaroni kwa wizi msibani, msikitini

ZANZIBAR; POLISI Mkoa wa Kusini Unguja inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za wizi wa pikipiki katika maeneo ya mikusanyiko ya…

Soma Zaidi »

Zanzibar mbioni kuzalisha umeme wake wenyewe

ZANZIBAR: SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inahitaji uwekezaji mkubwa wa sekta za Maji na Umeme ili kuongeza ufanisi wa…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi Z’bar waongezewa nauli Sh 50,000

PEMBA; RAIS  wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wataongezewa posho ya…

Soma Zaidi »

Simba bingwa Kombe la Muungano

ZANZIBAR; BAO la kiungo Msenegal Babacar Sarr dakika ya 77, limeiwezesha Simba kuibuka bingwa mpya wa michuano ya Kombe la…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aongoza dua maalum ya Mzee Karume

KISIWANDUI, Zanzibar: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewaongoza wananchi na viongozi mbalimbali wa chama na serikali katika dua…

Soma Zaidi »

Samia afanya mabadiliko makatibu wizarani

ZANZIBAR: RAIS SAMIA amemteua Mhandisi Cyprian Luhemeja kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira). Kabla ya…

Soma Zaidi »

Diamond ampa pole Dk Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi…

Soma Zaidi »
Back to top button