Zanzibar

Wajumbe Baraza la Wawakilishi wazuru TCRA kujifunza

DAR ES SALAAM: WAJUMBE saba wa Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametembelea makao makuu…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameteua viongozi mbalimbali Amemteua Ayoub Mohamed…

Soma Zaidi »

“Ni wakati wa kupambana na waghushi nyaraka”

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi, Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kughushi nyaraka za miradi mbalimbali katika taasisi za serikali na…

Soma Zaidi »

Katibu Mkuu UVCCM ziarani Zanzibar

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana  wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Fakii Lulandala amewasili visiwani Zanzibar na…

Soma Zaidi »

Lulandala agawa baiskeli kwa mabalozi Jimbo la Chakwa

ZANZIBAR; BAISKELI 180 zimegawanywa kwa mabalozi wa nyumba 10 wa Jimbo la Chakwa, Wilaya ya Kati, Zanzibar. Katibu Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Kongole Vikosi vya SMZ

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amevipongeza vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa kazi kubwa…

Soma Zaidi »

Fatma Karume: Muungano haujaathiri Wazanzibari

MJANE wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. Alisema…

Soma Zaidi »

Nzi wakwamisha biashara ya embe

ZANZIBAR; WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imesema inaendelea na utafiti wa wadudu akiwamo nzi ambao wamekuwa wakishambulia mazao…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi awafariji kifo cha aliyeshiriki Muungano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapimduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ateua Mwenyekiti,  Wajumbe Tume ya Uchaguzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameteua Mwenyekiti na wajumbe sita wa Tume…

Soma Zaidi »
Back to top button