Year: 2022

Uchumi

Mkandarasi akabidhiwa ujenzi bwawa

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amemkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni mradi wa ujenzi wa bwawa litakalotumika kwa kilimo cha…

Soma Zaidi »
Diplomasia

EU kuipatia Tanzania tril 2/- za miradi

UMOJA wa Nchi za Ulaya (EU) umeahidi kutoa Sh trilioni mbili za msaada kwa Serikali ya Tanzania, kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Uchumi

Bil 20/- kufikisha maji Bandari ya Kwala

WIZARA ya Maji imeridhia kutoa Sh bilioni 20 kwa ajili ya mradi wa maji katika bandari kavu ya Kwala iliyopo…

Soma Zaidi »
Kanda

Tanga yasimama kidete bomba la mafuta

SERIKALI imesema haitasita kuchukua hatua za kisheria kwa mtu ambaye atahujumu taswira ya nchi kupitia mradi wa ujenzi wa bomba…

Soma Zaidi »
Uchumi

ACT-Wazalendo yaunga msimamo bomba la mafuta

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelitaka Bunge la Ulaya kuondoa azimio la kutaka kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wapinzani waisifu serikali marekebisho tozo

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini wameipongeza serikali kurekebisha tozo na wameshauri itafute vyanzo vingine kuongeza mapato. Katibu Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania kupata bil 35/- kuokoa wajawazito

TANZANIA inatarajia kupokea msaada wa dola za Marekani milioni 15 (takribani Sh bilioni 34.9) kutoka Shirika la Kimarekani la Maendeleo…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Dk Mwinyi aagiza mabalozi fursa za uchumi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Zimbabwe, Zambia na Uholanzi,…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania kuchangia bil 2.3/- Global Fund

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa mwito kwa mataifa duniani kuungana katika kutoa mchango kwa Mfuko wa Kimataifa wa…

Soma Zaidi »
Uchumi

Serikali yaungwa mkono tozo

WAFANYABIASHARA, wachambuzi wa masuala ya uchumi na wanasiasa wamepongeza serikali kwa kuweka mfumo wa tozo ili kutekeleza miradi ya maendeleo.…

Soma Zaidi »
Back to top button