Year: 2022

Dini

Mufti ataka Waislamu kuchangia mafanikio ya Uislamu

SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi amewataka Waislamu kujenga tabia ya kujitolea fedha na mali zao kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Dodoma

Bil 100/- kuanzisha ujenzi vyuo vya Veta 62

SERIKALI imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi katika wilaya 62, ambazo zilikuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shaka aponda wasiotaka Muungano

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema si ushujaa kwa chama cha siasa kuwa na shauku ya kuvunja Muungano au viongozi wake kupania…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mbunge ahoji urasimishaji vijana wa ujuzi nje ya mfumo

SERIKALI imeweka mkakati kupitia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano wa kurasimisha ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Panya road’ wamedhibitiwa-Majaliwa

SERIKALI imefanikiwa kudhibiti wimbi la uhalifu jijini Dar es Salaam, maarufu kama panya road na sasa hali ni shwari ikilinganishwa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Bunge kuchagua wabunge A. Mashariki leo

BUNGE la Tanzania Alhamis  linatarajiwa kuchagua wabunge tisa wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi alisema…

Soma Zaidi »
Dodoma

Zungu ataka udhibiti mapato bandari Dar

NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ametaka mifumo ya makusanyo katika Bandari ya Dar es Salaam iunganishwe ili kudhibiti…

Soma Zaidi »
Biashara

Hati fungani ya NMB yatuzwa kimataifa

HATI fungani ya NMB Jasiri ya Benki ya NMB imechaguliwa kuwa mshindi wa kwanza wa tuzo mpya ya Hati Fungani…

Soma Zaidi »
Kanda

Wahitimu JKT watakiwa kufichua makundi ya wahalifu

VIJANA waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria, wametakiwa kufichua makundi ya uhalifu wakiwemo vijana…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Fursa bwerere soko la Ulaya, Watanzania waambiwa

BALOZI wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Umoja wa Ulaya (EU), Jestas Nyamanga ametaja fursa katika kilimo, biashara, utalii, uvuvi na…

Soma Zaidi »
Back to top button