Year: 2022

Tanzania

Vituo vya Polisi Dar sasa wazi saa 24

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema kuwa kutokana matukio ya uhalifu,  kuanzia sasa kila kituo cha…

Soma Zaidi »
Kanda

Watu 101 wadakwa matukio ya uhalifu Moro

JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro, linawashikilia watu 101 kwa tuhuma za kuhusika na makosa mbalimbali, yakiwemo wizi wa simu…

Soma Zaidi »
Infographics

Wadau waombwa kusaidia shule shikizi ya Tulieni

WANAFUNZI  471 wa darasa la awali na la kwanza wa Mtaa wa Tulieni, Kata ya Nsemulwa, Manispaa ya Mpanda, mkoani…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

UDSM wajivunia kutoa vijana wanaoweza kujiajiri

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Ndaki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ( CoICT), kimesema mbinu na…

Soma Zaidi »
Biashara

Msako wanaonunua vifaa vya wizi Dar waja

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema kwa siku nne sasa tangu kuanza kwa operesheni ya kukabiliana…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Uhuru wa kujieleza, demokrasia vifuate sheria, haki’

UHURU wa kujieleza, uhuru wa kutoa mawazo, uhuru wa demokrasia  na uhuru wa kutoa habari, vyote vinapaswa kutolewa katika misingi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Jeneza la Malkia Elizabeth II laelekea ibada ya kifamilia

JENEZA la Malkia Elizabeth II, limeanza safari yake ya mwisho kutoka Westminster Abbey kuelekea Kasri la Windsor kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Watumia Bandari ya Mtwara kusafirisha makaa ya mawe

KAMPUNI ya wazawa ya Jitegemee Holdings Company Ltd, inayojihusha na uchimbaji wa madini nchini, imeanza kutumia bandari ya Mtwara kusafirisha…

Soma Zaidi »
Kanda

RC Simiyu: Mradi wa maji utapunguza adha Meatu

HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, imetumia kiasi cha Sh milioni 356, katika ujenzi wa mradi wa maji safi…

Soma Zaidi »
Africa

Ruto ahudhuria mazishi ya Malkia Uingereza

DUNIA ikiwa inaungana katika kuomboleza msiba wa Malkia Elizabeth II, baadhi ya wakuu wa nchi wameshawasili Lancaster House, jijini London,…

Soma Zaidi »
Back to top button