Year: 2022

Afya

Padri aeleza chanzo biashara haramu ya binadamu

PADRI wa Kanisa Kuu la St. Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Gasper Basilidi amesema moja ya sababu zinazochangia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Geita kumkosa Mpole Sudan

TIMU ya soka ya Geita Gold, imeondoka jana kueleka Sudan kwa ajili ya mchezo wake wa raundi ya kwanza ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ngumi Temeke kumpa tuzo Rais Samia

CHAMA cha ngumi za ridhaa wilaya ya Temeke kwa kushirikiana na kampuni ya Gogopowa Sports & Entainment, wameaandaa tuzo maalumu…

Soma Zaidi »
Afya

Mradi wa maji Makongo -Bagamoyo wafikia 87%

MRADI wa maji wa Makongo hadi Bagamoyo umefi kia asilimia 87 ili ukamilike ukiwa unagharimu Sh bilioni 65.4. Mkurugenzi wa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Kikwete asifu kikosi kazi cha demokrasia

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha…

Soma Zaidi »
Biashara

Majaliwa aagiza wanunuzi waliokopa tumbaku wawajibishwe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote waliochukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha wachukuliwe hatua za kisheria ikiwamo kufi…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Serikali haikusitisha vibali usafirishaji mazao nje’

SERIKALI imesema haijasitisha utoaji wa vibali vya kusafi risha mazao ya chakula nje ya nchi kama ilivyoripotiwa na baadhi ya…

Soma Zaidi »
Africa

Samia, dunia wamlilia Malkia Elizabeth II

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa familia ya kifalme kwa kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa…

Soma Zaidi »
Kanda

Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba, Yanga kazi ipo kimataifa

TIMU za Yanga na Simba leo zinatarajiwa kushuka kwenye viwanja tofauti katika mechi za hatua ya awali za michuano ya…

Soma Zaidi »
Back to top button