Year: 2022

Uchumi

TICAD-8 kuneemesha mpango wa maendeleo

BALOZI wa Tanzania nchini Japan, Baraka Luvanda ameanika maeneo ambayo Tanzania itanufaika kupitia Dola za Marekani bilioni 30 sawa na…

Soma Zaidi »
Uchumi

Tanzania yataka sera rafiki fedha za kilimo

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuweka sera rafiki za kupata fedha za kuwavuta vijana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nape azungumzia sheria kulinda taarifa binafsi mtandaoni

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Baraza la Mawaziri limeruhusu kutungwa kwa sheria itakayolinda taarifa binafsi…

Soma Zaidi »
Kanda

Wanawake 1200 wanufaika elimu ya malaria

WANAWAKE wanaonyonyesha na wajawazito zaidi ya 1200, wamenufaika na elimu ya maambukizi ya ugonjwa wa malaria pamoja na Uviko-19, iliyotolewa…

Soma Zaidi »
Kanda

Ajali ya Hiace yaua wawili, yajeruhi Handeni

WATU wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya gari aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

JWTZ wapongezwa kukuza michezo

WAZIRI wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mohamed Mchengerwa  amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa jitihada zake…

Soma Zaidi »
Dini

Wageni 2000 kushiriki Ijitimai Katavi

WAUMINI wa dini ya Kiislam kutoka mataifa mbalimbali, wameanza kuwasili mkoani Katavi katika ibada ya siku 3 ya Ijitimai ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Mkandarasi awekwa ndani ujenzi wa shule Karagwe

MKANDARASI wa shule mpya ya sekondari ya wasichana ya Kagera River, amekamatwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi. Hatua ya kukamatwa…

Soma Zaidi »
Biashara

Wamachinga Dodoma waanza kuhamia soko jipya

KUANZIA leo wamachinga katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, wanaanza kuhamia kwenye soko jipya la kisasa ambalo ujenzi wake umekamilika…

Soma Zaidi »
Kanda

Zogo laibuka uchaguzi madereva bajaji Katavi

MADEREVA bajaji Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi, wamegomea uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Kijiwe cha Bajaji Soko Kuu, kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button