Year: 2022

Africa

Akimbia Kilometa 90 kumthibitishia mchumba waoane

Mwanaume mmoja huko Afrika Kusini amejipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii, baada ya kukimbia umbali wa Kilometa 90 kumthibitishia mpenzi…

Soma Zaidi »
Kanda

Diwani, wengine 19 mbaroni kwa viuatilifu Masasi

WATU 20 akiwemo diwani wa Kata ya Lulindi Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara wamekamatwa na Jeshi la Polisi…

Soma Zaidi »
Infographics

Sensa Tabora wavuka asilimia 100

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dk Batilda Burian, amesema licha ya changamoto za mtandao, sehemu kubwa ya utekelezaji wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ukaguzi wataalamu wa ununuzi serikalini waja

WIZARA ya Fedha na Mipango inajenga mfumo mpya wa kielektroniki wa ununuzi wa umma, huku ikifanya ukaguzi katika taasisi zote…

Soma Zaidi »
Dodoma

Watoto 93,218 kupatiwa chanjo ya polio Arusha

WATOTO zaidi ya  93,218 walio chini ya umri wa miaka mitano, wanatarajia kupata chanjo ya polio itakayoanza kutolewa Septemba1 hadi…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mwitikio mkubwa Dodoma tiketi za mabasi mtandaoni

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imesema kuna mwitikio mkubwa mkoani Dodoma wa wananchi kukata tiketi kielektroniki kwa mabasi yaendayo…

Soma Zaidi »
Dodoma

Rais Samia ashusha mzigo kwa majaji

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma, amesema uteuzi wa majaji 22 wa Mahakama Kuu uliofanywa na Rais Samia…

Soma Zaidi »
Kanda

Watoto waliozaliwa kabla ya wakati wasaidiwa

OFISA Tarafa Kata ya Elerai, Titho Cholobi kwakushirikiana na wadau mbalimbali wametoa msaada  pampasi, maziwa ya kopo, taulo za majimaji…

Soma Zaidi »
Dodoma

Rais Samia atoa maelekezo magereza

RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka kuhakikisha haki katika usimamizi wa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Jaji Mku: Mchakato kuwapata majaji ni huru

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema mchakato wa kuwapata majaji nchini ni huru na wazi kwa kuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button