Year: 2022

Kanda

Kaya 56,363 zahesabiwa Katavi

KAYA 56,363 zimehesabiwa hadi kufikia leo Agosti 25 ikiwa ni asilimia 37.07 ya Kaya 152,332 zinazotarajiwa kuhesabiwa  katika zoezi la…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yatoa Sh bilioni 15 kununua magari ya makamanda wa polisi

SERIKALI imetoa kiasi cha Sh bilioni 15 kwa ajili ya kununua magari ya makamanda wa polisi katika mikoa pamoja na…

Soma Zaidi »
Kanda

Askari wanafunzi 186 wafukuzwa, 4122 wakihitimu moshi

JUMLA ya Askari 4,122 kati ya wanafunzi 4,310 wamehitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Majaliwa amwakilisha Rais Samia Tunisia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa…

Soma Zaidi »
Kanda

Soko Kuu Mwanza katika hatua za mwisho kufunguliwa

UJENZI wa Soko Kuu katikati ya Jiji la Mwanza umefikia asilimia 80 huku kazi ikiendelea kwa kasi kuhakikisha kwamba linaanza…

Soma Zaidi »
Kanda

Ahimiza wananchi kuendelea na sensa

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Ahmed Abbas amehimiza wananchi mkoani humo wahesabiwe kwa kuwa kazi hiyo inaendelea. Abbas alisema jumatano…

Soma Zaidi »
Kanda

JKT yatangaza nafasi za mafunzo yakujitolea

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limefungua rasmi usajili wa vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na Jeshi hilo kwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Mpango aagiza mifuko ya plastiki kukamatwa

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuanzwa kwa operesheni ya kukamata na kuzuia mifuko ya plastiki nchini, inayochangia kurudisha…

Soma Zaidi »
Kanda

Muheza, Tanga kuboresha huduma ya maji

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa mazingira Tanga, imeingia mkataba wa Sh Bil 3.1 na  Kampuni  inayosimamia ujenzi wa Bomba…

Soma Zaidi »
Kanda

Shigella: Nitafuatilia kila senti fedha za miradi

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesema ofisi yake imejipanga kufuatilia, kupitia na kuweka mikakati thabiti ya usimamizi na…

Soma Zaidi »
Back to top button