Year: 2022

Tanzania

Msigwa aelezea kifo mwandishi wa TBC

MSEMAJI wa Serikali, Gerson Msigwa ameelezea kifo cha Mwandishi wa Habari wa TBC, Joachim Kapambe ambaye amesema alikuwa naye wakati…

Soma Zaidi »
Kanda

 ‘Utafiti wa mbegu uzingatie hali ya hewa’

WATAFITI wa masuala ya kilimo nchini, wametakiwa kutumia matokeo ya utafiti wao wanaofanya  katika kuboresha mbegu bora za mazao zinazoendana…

Soma Zaidi »
Kanda

Jaji Mahakama Kuu atupa pingamizi kesi ya Sabaya

JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Salma Maghimbi, leo Desemba 14, 2022,  ametupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Afrika nyuma ya Morocco leo

MOROCCO leo inakuwa timu ya kwanza ya Afrika kucheza nusu fainali za Kombe la Dunia itakapomenyana na mabingwa watetezi, Ufaransa…

Soma Zaidi »
Picha

Daaah Wabongo bana!

Mkazi wa Dar es Salaam akijiandaa kuvuka barabara baada ya kupenya katika uzio unaotenganisha Barabara ya Morogoro na kuacha kutumia…

Soma Zaidi »
Kanda

Wanafunzi 1,073,941 kujiunga kidato cha kwanza

WANAFUNZI 1,073,941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani. Hayo yamebainishwa…

Soma Zaidi »
Africa

Mafuriko yaua 120 DR Congo

HABARI: Watu 120 wamefariki dunia kwa mafuriko katika Mji Mkuu wa Kinshasa nchini DR Congo. Taarifa nchini humo zinaeleza. Taarifa…

Soma Zaidi »
Jamii

Mbaroni kwa mauaji ya mumewe

JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia Hoka Mazuri na watu wengine wanne wakiwemo wanawake wawili, kwa tuhuma za kula njama…

Soma Zaidi »
Afya

Matumizi holela viuatilifu yasababisha ugumba, saratani

MATUMIZI holela ya viuatilifu katika mazao, mbogamboga na matunda yanasababisha ugumba kwa wanaume, tezi dume wakati kwa wanawake yanasababisha magonjwa…

Soma Zaidi »
Afya

Ulevi wa kupindukia watajwa kuwa tatizo la afya ya akili

ULEVI wa kupindukia, suala la mahusiano ama kushindwa kumaliza masomo kwa wakati ni miongoni mwa changamoto inayosababisha tatizo la afya…

Soma Zaidi »
Back to top button