Year: 2022

Podcast

HABARI KUU: Disemba 12, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Disemba 12, 2022

Soma Zaidi »
Kanda

Waziri Mkuu atoa maelekezo hewa ya ukaa

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi kupitia upya mikataba ya biashara ya hewa ukaa…

Soma Zaidi »
Afya

Majaliwa aagiza Hospitali Katavi ianze kutoa huduma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dk. Patrice Serafin ahakikishe ifikapo…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yakata rufaa hukumu kesi ya Sabaya

SERIKALI imekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha juu ya kesi ya Uhujumu uchumi iliyokuwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Dk Possi aonya uchafuzi wa mazingira majini

NAIBU Katibu Mkuu Uchukuzi katika Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Dk Ally Possi, amesema uchafuzi wa mazingira majini una athari…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kigogo ZBS ajitosa uenyekiti Simba

MKURUGENZI wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), Yusuph Nassor amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Simba…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

CAF yairudisha Yanga Tunisia

YANGA imerudishwa tena Tunisia. Pengine ndivyo unavyoweza kusema kwa kifupi ukizungumzia droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Mpira…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba yapangwa na Wamorocco

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam imepangwa Kundi C la michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.…

Soma Zaidi »
Jamii

Kichanga aliyeibwa Kagera apatikana Dodoma

JESHI la Polisi limesema limempata mtoto wa mwezi mmoja aliyeripotiwa kuibwa mapema mwezi huu huko Kagera na kwamba linawashikilia watu…

Soma Zaidi »
Biashara

Wamachinga 5, 273 Ka’koo wasajiliwa kulipa kodi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesajili wafanyabiashara wadogo ‘machinga’ 5,273 katika zoezi lililoanza Februari mwaka huu ili kuwaingiza katika mfumo…

Soma Zaidi »
Back to top button