Year: 2022

Sayansi & Teknolojia

Milioni 339/- zatengwa ununuzi wa kompyuta ofisi za warajis

TUME ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imetenga jumla la Shilingi milioni 339 kwa ajili ya ununuzi wa kompyuta zitakazosambazwa katika…

Soma Zaidi »
Infographics

Matukio ya unyanyasaji 303 yaripotiwa ndani ya miezi tisa Morogoro

JUMLA ya matukio 303 ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto wakiwemo ya ubakaji yameripotiwa katika madawati ya jinsia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watano washtakiwa usafirishaji wa madawa ya kulevya

WATU watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka mawili ya kusafirisha madawa ya kulevya aina…

Soma Zaidi »
Siasa

Majaliwa: Serikali itaendelea kutekeleza miradi yote

SERIKALI imeeleza kuwa itaendelea kuwajibika katika kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati na maeneo yaliayoainishwa katika ilani ya Chama Cha Mapinduzi…

Soma Zaidi »
Afya

Polisi yatoa matibabu na ushauri wa kiafya kwa wazee

Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha limetoa huduma ya matibabu na ushauri wa kiafya katika kituo cha AST maalumu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Shirikisho Ureno lakanusha Ronaldo kutaka kuondoka Qatar

SHIRIKISHO la soka nchini Ureno limekanusha taarifa kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo alitaka kuachana na timu hiyo na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Enrique aachana na Hispania, kocha mpya atangazwa

BREAKING: Kocha Luis Enrique ameachana na timu ya Taifa ya Hispania, ikiwa ni siku chache baada ya timu hiyo kutolewa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Bunge Peru lamuondoa rais

BUNGE la nchini Peru limemuondoa madarakani rais wa nchi hiyo, Pedro Castillo, kwa madai ya uhalifu, uasi na nia yake…

Soma Zaidi »
Kanda

Watakiwa kuzingatia sheria utunzaji mazingira

KATIBU Tawala wa Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, Geofrey Mwashitete amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuzingatia sheria za utunzaji wa…

Soma Zaidi »
Kanda

Wasichana Geita, Kigoma wapatiwa baiskeli

SHIRIKA la Plan International, limejitolea baiskeli 500 kwa wanafunzi wa kike wanaoishi katika mazingira magumu, ili kuwaondolea adha ya usafiri…

Soma Zaidi »
Back to top button