Year: 2022

Michezo na Burudani

Mayele, Mgunda wang’ara tuzo za mwezi

MSHAMBULIAJI wa Yanga Fiston  Mayele na Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda wameng’ara kwenye tuzo za mwezi  zinazotolewa na Shirikisho…

Soma Zaidi »
Chaguzi

CCM ‘ni Dk Samia’

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM wamemchugua Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kura 1,914 kati ya 1915,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jeshi la Polisi lamnasa mtuhumiwa wa mauaji Dar es Salaam

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mfanyabiashara mmoja kwa tuhuma za kumuua Salum Ally aliyekuwa mlinzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waliopanga uhalifu Bwawa la Nyerere wakamatwa Rufiji

Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Rufiji linawashikilia watuhumiwa sitini na 65 kwa makosa mbalimbali wakiwepo wahalifu walio kamatwa na…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU: Disemba 7, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Disemba 7, 2022

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

HAKIMI: Baba’machinga’ Mama mfanya usafi

Bahati huwapenda wenye ujasiri. Muulize Achraf Hakimi atakupa majibu. UTAMBULISHO WAKE Achraf Hakimi mwenye miaka 24 alizaliwa November 8,1998 katika…

Soma Zaidi »
Afya

Maonesho ya dawa kufanyika Dar

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa maonesho ya sekta ya dawa na huduma za afya kwa wadau na wataalam wa afya…

Soma Zaidi »
Afya

MSD yafunga mashine hospitali ya Msoga

Bohari ya Dawa (MSD) imefunga mashine za picha za mionzi (X-Ray mashine) ambazo zimeanza huduma katika Hospitali ya Msoga iliyopo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Hazard astaafu timu ya taifa

Kiungo wa Ubelgiji na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu soka kwa kuichezea timu yake ya Taifa ya Ubelgiji. Kupitia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Geita yaachana na Mpole

UONGOZI wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuachana na mshambuliaji George Mpole kwa sababu ambazo hawajaziweka wazi. Katika taarifa yao…

Soma Zaidi »
Back to top button