Year: 2022

Afya

Watu 72 kati ya 100 hutumia chumvi ya kawaida Mtwara

WATU 72 kati ya 100 sawa na asilimia 72 ya Kaya katika Mkoa wa Mtwara hutumia chumvi ya kawaida ambayo…

Soma Zaidi »
Afya

Utandawazi watajwa kuongeza magonjwa yasiyoambukiza

MKURUGENZI Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza (MYA) Wizara ya Afya, Dk. James Kiologwe amesema utandawazi umekuwa ukichangia magonjwa yasiyoambukiza . Utandawazi…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yasitisha shughuli za kibinadamu Mto Ruaha Mkuu ukikauka

SERIKALI imesitisha shughuli zote za kibinadamu katika Mto Ruaha Mkuu baada ya mto huo kukauka kutokana na ukataji miti hovyo,…

Soma Zaidi »
Kanda

Bodaboda auawa kikatili Butiama

MWANAUME anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 36, ambaye hakufahamika kwa haraka amekutwa amekufa katika eneo la Maji machafu, Kijiji…

Soma Zaidi »
Kanda

Polisi yaua ‘majambazi’ watatu Kagera

JESHI la Polisi mkoani Kagera limesema limeua watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi katika mpaka wa Wilaya ya Ngara na Biharamulo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mpango kufungua shimmuta Tanga

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga, Singida kivumbi

YANGA leo inakabiliwa na kibarua pevu cha kuikabili timu ya Singida Big Stars, katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mpango acharuka vyanzo vya maji, mazingira

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza wananchi waliojenga katika vyanzo vya maji vya milima wapatiwe maeneo mengine ya kujenga…

Soma Zaidi »
Infographics

Majaliwa ataka ubia imara NHC, sekta binafsi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lichambue kwa umakini aina ya wawekezaji watakaoleta maombi ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Barabara ya kulipia yaja, sekta binafsi TRC, Tazara

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imesema inajipanga kubadilisha sheria ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) na Shirika…

Soma Zaidi »
Back to top button