Year: 2022

Jamii

Polisi yadaka ‘Wafu 11′ Katavi

JESHI la Polisi mkoa wa Katavi linawashikilia watu 11 wanaodaiwa kujihusha na uhalifu wanaojitambulisha kwa majina ya Damu Chafu, Mazombi,…

Soma Zaidi »
Jamii

DAWASA yaanza kusafisha visima Dar

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), imeanza kuvitambua na kusafisha visima vya maji vilivyopo jijini Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »
Fedha

Wadaiwa sugu kodi ya ardhi waonywa

KATIBU Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Allan Kijazi, amewataka wadaiwa sugu wa kodi ya pango…

Soma Zaidi »
Bunge

Gharama uunganishaji umeme kutolewa baada ya utambuzi

SERIKALI inaendelea na utambuzi wa maeneo na wananchi wanaoishi kata za mjini zenye sura ya vijiji, ili iweze kupanga gharama…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rais Ukraine kususia mkutano G20

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema hatahudhuria katika kilele cha mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiuchumi (G20) utakaofanyika Novemba 15,2022,…

Soma Zaidi »
Jamii

Ofisa Usalama feki atapeli wazazi Sh Mil 5 Katavi

JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi, linamshikilia Geofrey Evarist (44), kwa tuhuma za kujifanya mtumishi wa serikali kutoka Idara ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Serikali yaeleza utekelezaji mkataba wa Dubai World

SERIKALI imesema mkataba kati ya nchi na nchi ‘Intergovernmental Agreement (IGA)’, juu ya uwekezaji katika maeneo ya bandari baina ya…

Soma Zaidi »
Asia

Netanyahu arejea madarakani Israel

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu amerejea madarakani Alhamisi Nov. 3 baada ya uchaguzi wa wiki hii kumpa…

Soma Zaidi »
Muziki

Mtanzania atikisa tuzo za AKMA 2022

WASHINDI 15 wa tuzo za Muziki za Aga Khan 2022 (AKMA), akiwemo mtunzi wa nyimbo za dini kutoka Tanzania, Yahya…

Soma Zaidi »
Dodoma

Tanzania yaweka historia idadi ya redio, luninga

SEKTA ya utangazaji nchini Tanzania imeendelea kukua kwa ongezeko la vituo vya utangazaji wa televisheni na redio, redio na televisheni…

Soma Zaidi »
Back to top button