Year: 2023

Bunge

Biteko awasilisha azimio la Tanzania kujinga na IRENA

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh bilioni 13 kujenga stendi ya mfano mjini Geita

TAKRIBANI Sh bilioni 13 inatarajiwa kitumika kujenga kituo cha mabasi cha kisasa mjini Geita ikiwa ni sehemu ya Mradi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shigela awatolea uvivu wazazi utoro wa wanafunzi

GEITA: WANANCHI wa Mkoa wa Geita hususani wilayani Mbogwe wametakiwa kuwapeleka watoto katika shule za mchepuo wa Kingereza ili kuwajengea…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kombe la Dunia 2034 kufanyika Saudi Arabia

RASMI sasa Kombe la Dunia mwaka 2034 litafanyika nchini Saudi Arabia. Rais wa FIFA, Gianni Infantino amethibitisha hilo leo. Kandanda…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Rodrigo kusaini mkataba mpya Madrid

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Rodrygo, anakaribia kusaini mkataba mpya wa muda mrefu huko Madrid. Kwa mujibu wa mwandishi wa habari…

Soma Zaidi »
Sanaa

Neema yatangazwa kwa wabunifu

DAR ES SALAAM: Shirikisho la Sanaa za Ufundi na Ubunifu limesema Serikali ina mikakati ya kupeleka wabunifu nje ya nchi…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU

Soma Zaidi »
Safari

ATCL kuanza safari Ulaya na Asia

TANGA: Kampuni ya ndege Tanzania ATCL inatarajia kuongeza masafa Kwa kuanza safari za ndege kwenye bara la Asia na Ulaya…

Soma Zaidi »
Jamii

Ajali ya gari yaua watatu Mtwara

MTWARA: WATU watatu wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha gari ndogo Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara. Akitoa taarifa hiyo leo kwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Siku ya Shampeni yafana Dar es salaam

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo fleva nchini Omary Nyembo, ‘Ommy Dimpoz’ ameungana na watanzania wapenda shampeni barani Afrika kuadhimisha…

Soma Zaidi »
Back to top button