Year: 2023

Historia

Fatma Karume akoshwa TSN kutafuta historia yake

MKE wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Fatma Karume (94) amefurahi waandishi wa Kampuni…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Hatma ya Mnyama leo

HATMA ya Simba SC itajulikana leo ambapo timu hiyo itacheza na Al-Ahly mchezo wa marudiano wa African Football League nchini…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakandarasi wazawa kukuzwa kimataifa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ametangaza mkakati wa kukuza na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia ateua bosi TPHPA

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Joseph Canicius Ndunguru kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya Mimea na Viuatilifu (…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kuwalinda walimu kesi za wanafunzi

SERIKALI imeeleza nia ya kuwalinda walimu wanao simamia maadili kwa wanafunzi shuleni na vyuoni huku wakitakiwa kuendelea kuwasaidia wanafunzi katika…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

We continue with our topic THE PASSIVE VOICE The passive voice in the negative offers no special difficulty.It follows the…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wamesema!

DAR ES SALAAM: Dar Derby imemalizika kibabe Yanga wameendeleza ubabe dhidi ya Azam Fc. Yanga wameibuka na ushindi wa mabao…

Soma Zaidi »
Madini

Mapato ya halmashauri, Migodi kizungumkuti

GEITA: MKUU wa Wilaya ya Mbogwe Sakina Mohamed amebaini uwepo wa tofauti kubwa ya taarifa ya mapato yaliyoko kwenye vitabu…

Soma Zaidi »
Utalii

Mabondia wajitosa kutangaza utalii

DAR ES SALAAM: WACHEZAJI wa Masubwi wameingia rasmi kutangaza utalii kupitia mchezo wa ngumi kupitia Pambano la ‘sisi kwa sisi’…

Soma Zaidi »
Fedha

SACCOS watakiwa kujisajili

MWANZA: VYAMA vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Nchini(SACCOS) vimetakiwa kujisajili ili  kutambulika kisheria. Wito huo ulitolewa leo na Mtendaji…

Soma Zaidi »
Back to top button