Year: 2023

Biashara

Kumekucha usafirishaji korosho Mtwara

MTWARA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), imeanza kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kusafirisha korosho zinazozalishwa…

Soma Zaidi »
Siasa

Mjema ateuliwa mshauri wa Rais

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. – Kabla…

Soma Zaidi »
Gesi

Taifa Gas kuanza kuzalisha umeme Zambia

ZAMBIA: KAMPUNI ya Taifa Group, imeingia imeingia mkataba wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi nchini Zambia. Mkataba huo umeingiwa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania kuendeleza ushirikiano na UNDP

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amepokea Hati za Utambulisho za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali ya basi yaua 18

TABORA: Watu 18 wamefariki dunia, baada ya basi la abiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta wilayani Nzega,…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Samia kuhutubia miaka 59 Uhuru wa Zambia

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Infantino awasili Burundi

Rais wa FIFA, Gianni Infantino amewasili Bujumbura, Burundi kwa ya ziara yake ya kikazi. Infantino ameongozana na Mosengo Véron ambaye…

Soma Zaidi »
Madini

Samia ataka Uzalendo Sekta ya madini

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea na mikakati ya kuiboresha sekta ya madini ikiwa ni pamoja na kuwafanya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

TP, Espérance hakuna kiingilio

KUELEKEA mchezo wa kesho TP Mazembe wakicheza mchezo wake wa kwanza wa African Football League (AFL) katika dimba la Benjamin…

Soma Zaidi »
Tanzania

Maji safi, salama Mtwara sasa asilimia 58

KAMPENI ya kumtua mama ndoo kichwani ni moja ya mikakati ambayo imesaidia kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji safi na…

Soma Zaidi »
Back to top button