Year: 2023

Michezo na Burudani

Mwakinyo afungiwa mwaka mmoja

KAMISHENI ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungia bondia Hassan Mwakinyo mwaka mmoja. Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni ndani na nje…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Samia atunukiwa shahada ya udaktari India

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Makamu Mkuu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Saka aondolewa England

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Bukayo Saka ameondolewa kwenye kikosi cha England kinachojiandaa kufuzu mashindano ya Euro dhidi ya Australia na Italia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Hazard astaafu soka

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Eden Hazard ametanga kustaafu soka la kulipwa. – Taarifa ya Hazard imeeleza “baada ya miaka 16…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Jkt Queens yatupwa kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika

IVORY COAST: Mabingwa wa soka la Wanawake nchini Jkt Queens wamepangwa kundi A katika michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

POSSESSIVE PRONOUNS In Swahili the possessive pronouns are treated like adjectives, They take nominal prefixes,as shown below: -angu,my,mine                                  -etu, our,ours…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ujenzi bonde la Msimbazi wanukia

ILI serikali itekeleze Mradi wa Bonde la Msimbazi Dar es Salaam, ni lazima kuwahamisha watu wanaoishi maeneo hatarishi na baadhi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh milioni 450 kutengeneza madawati Morogoro

HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imetenga Sh milioni 450 katika mwaka wa fedha  2023/2024 ili  kutengeneza madawati ya wanafunzi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh bilioni 2 kuboresha huduma ukaguzi TPHPA

MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya Sh bilioni 2.2 lengo likiwa ni…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania yashuka kiwango cha ukeketaji

DAR ES SALAAM: TANZANIA inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua katika kupunguza ukeketaji kwa asilimia 75. Kwa sasa ipo…

Soma Zaidi »
Back to top button