Year: 2023

Afya

Watoto 45 kufanyiwa upasuaji wa moyo

DAR ES SALAAM: WATOTO 45 wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo yakiwemo matundu kwenye moyo, na matatizo ya mishipa…

Soma Zaidi »
Siasa

Biteko ataka watumishi ubalozini wachape kazi

KAMPALA, Uganda: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anataka kuona Tanzania…

Soma Zaidi »
Tanzania

Muswada sheria adhabu ya kifo kutua bungeni

DSM; WAZIRI wa Katiba na Sheria Balozi Dk Pindi Chana amesema Tanzania inathamini uhai wa kila mtu, ambapo muswada wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mahakama yamuachia huru aliyehukumiwa miaka 30 kwa kubaka

K’NJARO; Moshi. MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi, imemwachia huru na kumfutia adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela, mshitakiwa Nickas…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanaoenda kwa waganga kusaka utajiri waonywa

KIONGOZI wa kimila, jadi, asili na utamaduni kutoka himaya ya Nyarutambwe Manyovu mkoani Kigoma, Dk Fadhil Emil, amewataka vijana kwenda…

Soma Zaidi »
Afya

100 hutibiwa changamoto afya ya akili kila siku

DSM; JUMLA wagonjwa 70 hadi 100 wa afya ya akili huonwa kila siku katika kliniki zilizopo Hospitali ya Taifa ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Wadau wa mahakama wahamasishwa mfumo wa kidigitali

KAGERA. Bukoba. Wadau wa mahakama na wananchi kwa ujumla wametakiwa kujifunza na kushiriki katika majaribio ya mfumo mpya wa teknolojia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watakiwa kujifunza mfumo mpya teknolojia

WADAU wa mahakama na wananchi kwa ujumla wametakiwa kujifunza na kushiriki majaribio ya mfumo mpya wa teknolojia ambao utatumika kuanzia…

Soma Zaidi »
Afya

Unataka kutengeneza shepu? Nenda Muhimbili fasta tu

DSM: Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila, Oktoba 27, 2023 itaendesha upasuaji wa kutengeneza shepu ‘cosmetics surgery’ kwa watu wenye…

Soma Zaidi »
Jamii

Shirika la Elimu Kibaha, wadau waungana kuwanoa vijana

Shirika la Elimu Kibaha, wadau waungana kuwanoa vijana PWANI, Kibaha Shirika la Elimu Kibaha (KEC) kupitia Chuo cha Maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button