Year: 2023

Michezo na Burudani

Chato festival kufanyika Novemba 26 Chato

TAMASHA la Utalii la Chato Festival limepangwa kufanyika Novemba 26 hadi Desemba 3, mkoani Chato. Akizungumza leo Oktoba 4, 2023…

Soma Zaidi »
Biashara

Korosho kusafirishwa Bandari ya Mtwara

WAKUU wa mikoa ya Mtwara, Ruvuma na Lindi wamekubaliana kusafirisha korosho ghafi kwa kutumia Bandari ya Mtwara kwenye msimu wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Majaliwa: Serikali inataka makubwa zaidi kwenye michezo

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza bajeti kwenye sekta ya michezo ili kuipaisha zaidi sekta hiyo…

Soma Zaidi »
Afya

Viongozi watakiwa kutumia sensa kupanga maendeleo

VIONGOZI wa Mkoa wa Kilimanjaro wamehimizwa kutumia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kupanga mipango mbalimbali…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tamisemi yatoa maagizo majanga ya moto

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imewataka Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa…

Soma Zaidi »
Afya

Washauriwa kuboresha hospitali

WAGANGA Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya wameshauriwa kuiga mfano wa maboresho yaliyofanyika…

Soma Zaidi »
Utalii

Tembo 500 kupelekwa Burigi, Hifadhi Rumanyika

TEMBO 500 wanatarajiwa kuhamishwa kutoka kwenye msitu unaozunguka Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera na kupelekwa hifadhi ya Burigi Chato na…

Soma Zaidi »
Afya

Uongozi Muhimbili wajadili usimamizi vyumba vya maiti

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Oktoba 4,2023 umekutana na Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi…

Soma Zaidi »
Africa

Wanafunzi 50 Kenya walazwa ugonjwa usiojulikana

WANAFUNZI 50 wa shule ya sekondari ya wasichana Eregi Girls High School nchini Kenya wamelazwa hospitalini katika mji wa Kakamega,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Phumzile kushiriki tamasha la jinsia TGNP

ALIYEKUWA  Makamu wa Rais wa Afika Kusini, Dk Phumzile Mlambo Ngcuka anatarajiwa kushiriki katika  tamasha la jinsia  pamoja na  kufikia…

Soma Zaidi »
Back to top button