Year: 2023

Jamii

Rais Samia anataka kuona miradi inakamilika kwa wakati

MBEYA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona miradi ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Africa

Theresa Kufuor afariki dunia

GHANA: Theresa Kufuor, Mke wa Rais wa zamani wa Ghana, amefariki akiwa na umri wa miaka 87. Bi Kufuor alihudumu…

Soma Zaidi »
Infographics

TAWOMA waanzisha tuzo malkia wa madini

CHAMA Cha Wachimbaji Wadogo Wanawake Nchini (TAWOMA) kimeanzisha na tuzo za Malkia wa Madini ikiwa ni sehemu ya kutambua na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi Morogoro, Dodoma kupewa elimu stadi za maisha

WANAFUNZI wa shule za sekondari  kutoka Halmashauri za  Wilaya ya Malinyi na Manispaa ya Morogoro  mkoani  Morogoro pamoja na Chamwino, Dodoma wanatarajia kupatiwa…

Soma Zaidi »
Afya

Magonjwa yasiyoambukiza tishio 2030

TAKWIMU za Wizara ya Afya zinaonesha kuwa katika kila vifo vitatu kifo kimoja kinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza. Hayo yamebainishwa na…

Soma Zaidi »
Biashara

Tigo yajivunia mikopo kwa wakulima

KAMPUNI ya Tigo inayosaidia kuleta mageuzi ya kidijitali nchini, leo imezindua maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja huku ikijivunia…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Miaka 74 ya kuanzishwa Jamhuri ya Watu wa China  

AFRIKA na China zina uhusiano wa kihistoria na wa karibu ambao ulianza katika harakati za ukombozi za zamani. Katika miongo…

Soma Zaidi »
Sanaa

Dk Ndumbaro: Mji wa serikali una uhaba majengo ya sanaa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dk Damas Ndumbaro amesema Mji wa Serikali Dodoma bado unachangamoto ya uhaba wa majengo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mwigulu achangia Sh milioni 15 shule ya KKKT Iringa

WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Chemba ametoa fedha taslimu Sh milioni 15 kuchangia awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Marekani kuendeleza misaada Ukraine

RAIS wa Marekani, Joe Biden amesema taifa hilo litandelea kuunga mkono vita kwa kutuma misaada nchini Ukraine huku akiwataka washirika…

Soma Zaidi »
Back to top button