Year: 2023

Kimataifa

Uingereza kutengeneza monawari ya nyuklia

UINGEREZA imezipa kampuni tatu nchini humo kandarasi ya pauni bilioni 4 ($4.9bn) kuunda na kutengeneza manowari ya mashambulizi ya nyuklia…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Uingereza hawana haraka kutuma vikosi Ukraine

UINGEREZA imesema hakuna mipango ya haraka ya kupeleka vikosi vya kijeshi nchini Ukraine, Waziri Mkuu, Rishi Sunak amesema. – Hatua…

Soma Zaidi »
Gesi

Ubalozi wa Uswidi nchini wazindua lori la gesi asilia

DAR ES SALAAM: KATIKA kuadhimisha miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Uswidi, Ubalozi wa Uswidi nchini umezindua kampeni…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy afafanua hatari kula matunda mchanganyiko

WAZIRI wa Afya ,Ummy Mwalimu ameonya ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza ifikapo 2030 huku akitahadharisha kuwa mtindo mbaya wa maisha ikiwemo…

Soma Zaidi »
Siasa

Jokate – Nimejipanga kushirikiana na viongozi, wanachama

KOROGWE, Tanga: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Jokate Mwegelo amesema ameupokea kwa unyenyekevu mkubwa na…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali kumaliza kero ya umeme migodini

GEITA: Serikali imeanza kutekeleza mradi maalum wa kupeleka umeme maeneo ya wachimbaji wadogo ili kuwapunguzia gharama za uzalishaji na kuchagiza…

Soma Zaidi »
Amerika

Kanisa laporomoka na kuua tisa wakati wa Ibada

MEXICO: Takriban watu tisa – wakiwemo watoto watatu – wameuawa na makumi wengine wakibaki wamenasa kwenye vifusi baada ya paa…

Soma Zaidi »
Africa

Ilebaye ashinda Big Brother Naija – All Stars

LAGOS, Nigeria: Mjasiriamali na Mwanamitindo Ilebaye Odiniya ameibuka mshindi katika msimu wa nane wa shindano la runinga Big Brother Naija…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mfahamu Msemaji Mkuu mpya wa Serikali Tanzania – Mobhare Matinyi

DAR ES SALAAM: Julai 2 mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga yatinga kibabe makundi CAFCL

DAR ES SALAAM: Baada ya kusubiri kwa kipindi cha miaka 25 hatimae Yanga wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano…

Soma Zaidi »
Back to top button