Year: 2023

Michezo na Burudani

Mudryk ameanza hivyo

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Mykhailo Mudryk amefunga bao la kwanza jana akiwa na Chelsea. Mudryk alisajiliwa Chelsea Januari 15, 2023 kwa…

Soma Zaidi »
Siasa

Uteuzi na mabadiliko Wakuu wa Wilaya

RAIS, Samia Suluhu Hassan Amemteua Elibariki Bajuta, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kuwa…

Soma Zaidi »
Siasa

Magani atenguliwa Halmashauri ya Korogwe

DOHA: RAIS Samia Suluhu Hassan Ametengua uteuzi wa Halfan H. Magani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe na badala yake kumteua…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mradi wa umeme Kishapu kuanza na Megawati 50

KAIMU Meneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Elias Turnbull amesema mradi wa umeme wa jua uliopo…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Bashungwa ambana mkandarasi, atoa siku 14

MBEYA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku 14 kwa Wakala wa Barabara (TANROADS), Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB)…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali zatakiwa kuwapima Selimundu watoto wanaozaliwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amezitaka hospitali zote za halmashauri nchini kuwapima Ugonjwa wa Selimundu watoto wote…

Soma Zaidi »
Jamii

TANESCO boresheni mfumo wa kutoa huduma-Kapinga

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuboresha mfumo wa utoaji huduma…

Soma Zaidi »
Infographics

Tafakari ya Mahusiano ya China na Tanzania maadhimisho ya miaka 74

Afrika na China zina uhusiano wa kihistoria na wa karibu ambao ulianza katika harakati za ukombozi za zamani. Katika miongo…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Hotuba Makamba miaka 74 ya kuanzishwa kwa PRC

Oktoba 1, 2023 ni maadhimisho ya hatua muhimu katika historia ya China na watu wake, na pia katika uhusiano kati…

Soma Zaidi »
Safari

Mbarawa: kufikia 2025 tutakuwa na Ndege 16

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa kesho Oktoba 03, 2023 Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya…

Soma Zaidi »
Back to top button