Year: 2023

Kimataifa

Watu 80 wafa ajali ya moto Hawaii

IDADI ya watu waliokufa kwa ajali ya moto katika msitu wa Maui Hawaii imeongezea na kufikia 80. Mwanasheria Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kane atua Bayern Munich

FC Bayern Munich wamethibitisha kumsajili Harry Kane kutoka Tottenham Hotspur. Mshambulizi huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 30 amesaini…

Soma Zaidi »
Madini

Wadau sekta ya madini wafundwa safari ya China

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa ameutaka ujumbe wadau sekta ya madini wanaotarajia kuelekea nchini China kuhakikisha safari hiyo…

Soma Zaidi »
Afya

Molly Sims awakumbuka watoto njiti

MWANAMITINDo na Mwigizaji wa Kimataifa Molly Sims amechangia Dola za Marekani  25,000 sawa na sh milioni 62 kwa  ajili ya…

Soma Zaidi »
Madini

Dk.Kiruswa awapa neno wadau sekta ya Madini

DAR ES SALAAM, NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa ameutaka ujumbe wa wadau wa Sekta ya Madini wapatao 100…

Soma Zaidi »
Tanzania

TET waja kivingine somo la historia

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imesaini mkataba wa makubalino na Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Bara…

Soma Zaidi »
Tanzania

Prof. Mkenda: Kuishia la sita haianzi mwakani

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mchakato wa mapitio ya Sera ya Elimu…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi yanasa meno ya tembo, bunduki

OPARESHENI zinazoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, zimewezesha kukamata vipande saba vya meno ya tembo pamoja na…

Soma Zaidi »
Siasa

Samia awapangia vituo mabalozi wateule

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi wateule sita aliowateua Mei 10, 2023 na amewabadilisha…

Soma Zaidi »
Utamaduni

Miaka 50 ya Hip hop na vita ya dawa za kulevya, vurugu

WAHAFIDHINA wa tamaduni ya hip hop ‘Hip Hop Culture’, leo wanaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa utamaduni huo. Inaaminika utamaduni…

Soma Zaidi »
Back to top button