Year: 2023

Jamii

Wamachinga Iringa warejea soko la Mlandege

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego ameunda kamati itakayoanza leo kushughulikia changamoto mbalimbali za Wamachinga, hatua inayolenga kuyapa nguvu…

Soma Zaidi »
Jamii

Watakiwa kutunza vyanzo vya maji

WANANCHI wa Kata za Katoma na Karabagaine, Halmashauri  ya Bukoba  mkoani Kagera, wamehimizwa kuhakikisha wanalinda na kutunza chanzo cha maji…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania, Malawi kushirikiana kuzalisha umeme

TANZANIA  na Malawi zimeingia makubaliano ya ushirikiano katika nishati, ikiwa kutekeleza agizo la wakuu wa nchi hizo mbili. Akizungumza leo…

Soma Zaidi »
Jamii

Ludewa wafurahia kung’ara Nanenane

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe imeshika nafasi ya kwanza kitaifa kwa mwaka 2023 katika maonesho ya Nanenane kupitia…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali zote kuwa na wodi za watoto njiti

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya inafanya juhudi za kuhakikisha hospitali zote nchini zinakua na wodi maalum za uangalizi wa watoto…

Soma Zaidi »
Jamii

Kesi ya ubakaji ya ‘P-square’ kusikilizwa upya

KESI ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili Beach Boy, Dunia Seleman (36) maarufu Psquare imeamriwa kusikilizwa upya baada ya hukumu ya kifungo…

Soma Zaidi »
Jamii

Utafiti: Watanzania wana imani na Awamu ya Sita

DAR: UTAFITI uliofanywa na Taasisi inayojishughulisha na Utafiti, masuala ya Uchumi, Umaskini na Maendeleo ya Nchi ( Repoa), umeonesha Watanzania…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Serikali yaweka nguvu Mpigachapa Mkuu

SERIKALI imetoa  kiasi cha Sh bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda kipya cha Mpigachapa mkuu wa serikali na…

Soma Zaidi »
Jamii

Aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji aachiwa 

ALIYEDAIWA kumbaka mwanamke wa miaka 58 na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, Joseph Mathias amefutiwa hatia na kifungo hicho…

Soma Zaidi »
Siasa

NEC yatahadharisha wasimamizi wa uchaguzi

TUME  ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewakumbusha Wasimamzi wa Uchaguzi kutekeleza wajibu wao kwa kuhakikisha kwamba ajira za watendaji wa…

Soma Zaidi »
Back to top button