Year: 2023

Tanzania

TPA washinda tuzo mwajiri bora 2023

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetwaa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023 kwa taasisi za umma hapa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Geita kuongeza weledi usimamizi miradi ya maji

MKUU wa Wilaya ya Geita, Cornel Magembe amesema wilaya hiyo imejipanga kupunguza utitiri wa Vyombo vya Watumiaji Maji Ngazi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waliohamishwa Ngorongoro haki za binadamu zimezingatiwa

SERIKALI imefafanua kuwa Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la hifadhi kwenda kijiji cha Msomera Handeni Mkoa wa Tanga wamehamishwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh milioni 240 kusaidia waathirika wa mafuriko Hanang

DAR ES SALAAM: UMOJA wa Makampuni ya Mawasiliano nchini (TAMNOA) umemkabidhi msaada wa zaidi ya Sh milioni 240 kwa Waziri…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wavutiwa upigaji hatua kiuchumi, uhifadhi

TIMU ya wataalam kutoka Benki ya Dunia inayoendelea na kazi yake ya kutathmini utekelezaji wa mradi wa Kuboresha Usimamizi wa…

Soma Zaidi »
Afya

Kipindupindu chauwa wanne Buchurago

WATU wanne wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kijiji cha Buchurago kata ya Bugorora wilayani Missenyi mkoani Kagera huku wengine…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania, taasisi Malysia kushirikiana sekta ya uvuvi

TANZANIA na Taasisi ya WorldFish kutoka Malaysia wamekubaliana kushirikiana kuimarisha sekta ya uvuvi ili kuwa na mchango mkubwa nchini sambamba…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Wananchi Tanga toeni taarifa wanaokwepa risiti”

WANANCHI mkoani Tanga wametakiwa kutoa taarifa za wafanyabiashara wanaokwepa kutoa risiti pindi wanapofanya manunuzi Ili kuchukuliwa hatua za kisheria. Kauli…

Soma Zaidi »
Afya

Mabadiliko tabianchi kuongeza magonjwa ya mlipuko

WAZIRI wa Afya ,Ummy Mwalimu amesema magonjwa ya mlipuko na vifo vinatarajiwa kuongezeka Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania…

Soma Zaidi »
Infographics

Watu sita wafa kwa radi Mtwara

WATU sita wamekufa na wengine tano kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa kwenye sherehe ya kumpongeza kijana wao aliyehitumu…

Soma Zaidi »
Back to top button