Year: 2023

Tanzania

Wachangiaji mfuko wa elimu kupata unafuu wa kodi

MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA), imeeleza kuwepo kwa unafuu wa kodi kwa kila anayechangia mfuko wa elimu nchini kama ilivyoainishwa…

Soma Zaidi »
Infographics

Mitaala mipya yakaribia VETA

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeandaa vitini kwa ajili ya maandalizi ya mitaala mipya inayoanza Januari…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wafungiwa

UWANJA wa Ali Hassan Mwinyi uliopo mkoani Tabora umefungiwa kutumika kwa mchezo wowote wa Ligi Kuu mpaka pale utakaporekebishwa eneo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Yanga watoa pole waathirika mafuriko Hanang

UONGOZI wa klabu ya Yanga umetoa pole kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea eneo la Katesh Wilaya ya Hanang mkoani Manyara…

Soma Zaidi »
Jamii

Kinana awatuliza waathirika wa maafa Hanang

MANYARA: MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wananchi wilayani Hanang Mkoa wa Manyara hususani…

Soma Zaidi »
Jamii

Serikali kugharamia mazishi waliokufa kwa mafuriko Hanang

MANYARA: RAIS Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa serikali igharamie mazishi ya waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyotokea…

Soma Zaidi »
Fursa

Vijana wajengewa uwezo kulimudu soko la ajira

DAR ES SALAAM: Shirika la Her Initiative kwa kushirikiana na kampuni ya Kazi Connect wameandaa mafunzo ambayo yanawaleta pamoja wahitimu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Anangisye atoa madini kwa wahitimu

DAR ES SALAAM: MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye amewataka wahitimu kutumia elimu kubwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Makundi maalum 15 kutoa mawazo katiba RT

KATIBU wa Kamati ya Marekebisho ya Katiba ya Shirikisho la Riadha Nchini (RT) Wilhem Giddabuday amesema kuwa makundi maalumu 15…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kilabu cha pombe Iringa kuwa soko la Samaki

HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa imeagiza kilabu cha pombe za kienyeji cha Kijiweni kibadilishwe matumizi yake na kuwa soko la…

Soma Zaidi »
Back to top button