Year: 2023

Afya

Hospitali ya Nanguruwe yakabidhiwa vifaa vya Sh milioni 5

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mtwara imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika Hospitali ya Wilaya ya  Mtwara Vijijini ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Azam watoa pole waathirika mafuriko Hanang

KLABU ya Azam imeungana na Simba SC kuwapa pole ndugu walioguswa na vifo vya watu 49 waliokufa katika mafuriko yaliyotokea…

Soma Zaidi »
Jamii

Waziri Jenista, Bashungwa watia timu Hanang

MANYARA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa,…

Soma Zaidi »
Siasa

Hatma ya mwenyekiti CCM Arusha kuamulia leo

WAJUMBE wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kutoka wilaya saba leo wanapiga kura kumchagua mwenyekiti wa chama hicho…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali: Wawili wahofiwa kufa makutano Musoma, Tarime

WATU wawili wanadaiwa kufa baada ya gari walilopanda kufeli breki, kuacha barabara na kuingia mtaroni kisha kulipuka katika makutano ya…

Soma Zaidi »
Africa

Wachimbaji migodini hawajaonekana Zambia

MAOFISA nchini Zambia wameshindwa kupata makumi ya wachimbaji haramu wanaoaminika kunaswa baada ya maporomoko ya udongo kwenye mgodi wa shaba…

Soma Zaidi »
Africa

Waziri Mkuu mstaafu Rwanda afariki

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Rwanda na mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Paul Kagame amefariki akiwa uhamishoni nchini Ubelgiji.…

Soma Zaidi »
Africa

Rais mstaafu Mauritania akana matumizi mabaya ya uongozi

RAIS wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz amekanusha mahakamani madai yote anayokabiliana nayo ya kutumia vibaya mamlaka yake…

Soma Zaidi »
Tanzania

Simba SC watoa pole waathirika mafuriko Hanang

KLABU ya Simba SC imetoa pole kwa familia zilizoguswa zilizopoteza ndugu zao katika mafuriko yaliyotokea Wilaya ya Hanang mkoani Manyara…

Soma Zaidi »
Tanzania

Timu ya Madaktari yatua Manyara kutoa huduma

MANYARA: KUFUATIA mafuriko yaliyotokea katika Mji wa Katesh, Mkoa wa Manyara na Kusababisha vifo vya watu takribani 49 na majeruhi…

Soma Zaidi »
Back to top button