Year: 2023

Tanzania

Mbunge agawa majiko kuokoa misitu Geita

OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Geita mjini imegawa jumla ya majiko ya gesi ya kupikia 250 katika vijiji na…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Uzalishaji samaki waongezeka Zanzibar

ZANZIBAR: WIZARA ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi inaendelea kuwezesha wajasiriamali na wananchi kwa kuwapatia elimu, uelewa na ufahamu katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

DCEA yakamata dawa za kulevya kilo 3,182

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekatama jumla ya Kilogramu 3,182…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watu 241 wauawa Gaza ndani ya saa 24

TAKRIBAN watu 241 wameuawa ndani ya saa 24 zilizopita na wengine 382 kujeruhiwa wakati oparesheni ya kijeshi ya Israel ikiendelea…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Polisi waanza kuchunguza uvamizi wa Trump

POLISI nchini Marekani wanachunguza matukio yaliyoelekezwa kwa majaji wa Mahakama ya Juu ya Colorado na kutoa doria za ziada karibu…

Soma Zaidi »
Africa

Wapiganaji 80 Al-Shabab wauawa

MOGADISHU, Somalia:  WAPIGANAJI 80 wa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab wameuawa katika operesheni za kijeshi na Jeshi la Somalia katika…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Radi yauwa watu tisa Australia

QUEENSLAND, Australia: TAKRIBAN watu tisa, akiwemo mtoto wa umri wa miaka tisa, wameuawa nchini Australia huku mvua kubwa ya radi ikipiga…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Zenji patawaka leo

ZANZIBAR: Wakazi wa Zanzibar leo watashuhudia mtanange wa kirafiki kati Zanzibar Hereos na Kilimanjaro Stars. Shauku ni kubwa kwa wapenda…

Soma Zaidi »
Tanzania

Pinda atoa maagizo matumizi ya ardhi

KATAVI: Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amewaasa watanzania kuhakikisha wanakuwa na mipango bora ya…

Soma Zaidi »
Dini

Ndoa 15 zafungishwa mkupuo

Katika Kusherehekea Sikukuu ya kuzaliwa kwake Yesu Kristo ,(Krismas) Kanisa Katoliki Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria lililopo Unga…

Soma Zaidi »
Back to top button