Year: 2023

Habari Kwa Kina

Usiingie 18 za Man United Boxing Day

MANCHESTER, England: WAKATI wengi wakiifurahia Boxing Day kwa kujionea zawadi walizopokea wakati wa Sikuu ya Christimas kutoka kwa wapendwa wao…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

TATU AENDA SOKONI Msamiati Soko,sokoni.                             market,in the market place Mji,mjini,.                                   town,in the town Njia,njiani.                                 Way,on the way Basi,mabasi.                            Bus,buses Basi,.                                        …

Soma Zaidi »
Dini

Wakristo waaswa kumkiri Kristo

DAR ES SALAAM: WAKRISTO wametakiwa wamwambie Mungu ahsante kwa zawadi ya Yesu Kristo kuja ulimwenguni na kuukomboa ulimwengu na ameleta…

Soma Zaidi »
Dini

Padri Maziku: Boxing Day haihusiani na jinai

DAR ES SALAAM: KILA ifikapo Desemba 26 ya kila mwaka, waumini wengi wa dini ya kikristo wa madhehebu mbalimbali hutumia…

Soma Zaidi »
Infographics

Wanne wafa mto ukisomba makazi DR Congo

WATU wanne wamekufa na wengine 20 wakihofiwa kutoweka baada ya mto kusomba baadhi ya majengo huko Kivu Kusini Mashariki mwa…

Soma Zaidi »
Utalii

Kairuki kuwafungulia fursa wanakilimanjaro

KILIMANJARO: WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angela Kairuki anatarajia kuzindua programu maalum ya ‘Homestay’ inayotoa fursa kwa wananchi wa Kilimanjaro…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mabasi matano yazuiliwa stendi Mbeya

MBEYA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha usalama barabarani limeyazuia mabasi matano ya abiria katika Stendi Kuu…

Soma Zaidi »
Africa

Tshisekedi aongoza kura za urais

DR CONGO: TUME ya Uchaguzi ya DR Congo (CENI) imeendelea kutoa matokeo ya uchaguzi wa rais kwa baadhi ya maeneo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Man United mtegoni

MANCHESTER: WAKATI sikukuu za mwisho wa mwaka zikiendelea maeneo mbalimbali ulimwenguni michezo imekuwa ni sehemu ya kunogesha sherehe hizo. Hekaheka…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kiduku: wamemkanyaga nyoka mkia

DAR ES SALAAM: HAYAWI hayawi, punde kuwa na usiku wa deni haukawii kuwika. Bondia kipenzi cha wapenda ndondi nchini, Twaha…

Soma Zaidi »
Back to top button