Year: 2024

Michezo na Burudani

United kumuuza Maguire, Madrid wamtaka Saliba

MANCHESTER UNITED iko tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya kumuuza beki Harry Maguire, 31, mwezi Januari. (Star). Mshambuliaji wa Norway,…

Soma Zaidi »
Utalii

Onesho laingiza pato sekta ya utalii

TANZANIA imeendelea kupata mafanikio chanya kwenye sekta ya utalii kupitia onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024 ) lilohitimishwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Red Cross Tanzania yaandika historia Manyara

UJENZI wa nyumba 35 za waathirika wa maporomoko ya udongo na mawe wilayani Hanang mkoani Manyara uliojengwa na Tanzania Red…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tasac yaonya vyombo vya mizigo kubeba abiria

SHIRIKA la Wakala wa Huduma za Meli Tanzania (TASAC) limewataka watanzania kuacha tabia ya kusafiri kwa kutumia vyombo vya majini…

Soma Zaidi »
Madini

TFS yaanza kutoa chanjo ya sumu ya nyuki

WAKALA wa Huduma za Misitu (TFS) imewataka watanzania kujifunza kutumia sumu ya nyuki kama njia mbadala ya kuimarisha kinga dhidi…

Soma Zaidi »
Diplomasia

SUMA JKT, Comoro kuendeleza biashara

SHIRIKA la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA-JKT) limeingia makubaliano ya kibiashara na Kisiwa cha Ngazidja nchini Comoro…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Sekta ya utalii yasifiwa kuongeza pato la taifa

NAIBU Waziri ,Wizara ya Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amesema sekta ya utalii imekuwa na mchango mkubwa kwenye ajira za…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Chagueni wenye kasi ya Rais Samia”

SERIKALI ya Mkoa wa Mtwara imewataka wanawake wa Wilaya ya Mtwara mkoani humo kuacha majaribio katika uchanguzi wa Serikali za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nkuna wa Chadema afungiwa kuendesha gari

KADA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeshitakiwa kwa kosa ka kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X…

Soma Zaidi »
Featured

Mapokezi ya Rais Samia Mwanza

Rais wa Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza…

Soma Zaidi »
Back to top button