Year: 2024

Kimataifa

Israel yaonywa mashambulizi Lebanon

WASHINGTON  DC : SERIKALI ya Marekani imeitaka Israeli kujiepusha na operesheni za kijeshi nchini Lebanon, baada ya Waziri Mkuu Benjamin…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Saudi Arabia nje baraza la haki za binadamu

USWISI : SAUDI  ARABIA  imepoteza kiti cha ujumbe kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufuatia kampeni…

Soma Zaidi »
Featured

Bukombe yapokea mitungi ya gesi ya ruzuku 1,600

BAADHI ya wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamepokea mitungi ya gesi ya kupikia 1,600 inayouzwa kwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kimbunga Milton chabisha hodi Florida

MAREKANI : KIMBUNGA Milton kimetuwa jimboni Florida na kusahabisha uharibifu mkubwa na kuacha takriban nyumba na maakazi milioni 3 bila…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Waafrika kutengeneza drone Urusi

URUSI : TAKRIBAN wanawake 200 wenye miaka 18 hadi 22 kutoka barani Afrika, wanasajiliwa kwenda kufanya kazi Urusi. Wanawake hao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wadau wakusanyika kujadili upatikanaji maji yaliyo chini ya ardhi

DAR ES SALAAM: TANZANIA imefanya majadiliano ya namna ya kutumia maji, yaliyo chini ya ardhi ili kupunguza mzigo mkubwa wa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Mji mkongwe kuendelea kuhifadhiwa

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji wadau  kuungamkono…

Soma Zaidi »
Afya

CCBRT yaendesha huduma upimaji macho bure

HOSPITALI ya CCBRT iliyoko Msasani Dar es Salaam katika kuadhimisha Siku ya Afya ya Macho Duniani mwaka 2024,  imeendesha huduma…

Soma Zaidi »
Dodoma

Rais Samia aongoza kikao Baraza la Mawaziri

Soma Zaidi »
Afya

Dk Biteko ashiriki mbio fupi Bukombe

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko leo Oktoba 10 ameungana na wananchi wa Bukombe kwenye mazoezi…

Soma Zaidi »
Back to top button