Year: 2024

Infographics

Gachagua aendeleza utetezi bungeni

NAIROBI, Kenya: NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ameendelea kujitetea tangu jana na tena leo anaendelea na utetezi wake bungeni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi Tulindane waishukuru serikali ujenzi maabara

BAADHI ya wanafunzi katika shule ya sekondari ya Tulindane iliyopo Halmashauri ya Mji wa Newala mkoani Mtwara wameishukuru serikali kwa…

Soma Zaidi »
Fursa

Mil 827/- kuwezesha wajasiriamali Morogoro

HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imetenga Sh milioni  827 kwa ajili ya mikopo ya asilimia10 kwa wananchi walio kwenye vikundi…

Soma Zaidi »
Featured

Chana aelekeza Halmashauri kudhibiti moto misitu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amezielekeza Halmashauri zote nchini kuzuia mianya inayosababisha moto kwenye maeneo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahamiaji watakaojihusisha na uchaguzi kukiona

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fatma mwasa amesema mkoa huo utachukua hatua kali za kisheria kwa wahamiaji haramu ambao wamegangania…

Soma Zaidi »
Featured

Mgonjwa wa mpox agundulika Uganda

MTU mmoja amegundulika kuwa na ugonjwa wa mpox kwenye gereza la Nakasongola katika ya Uganda. Msemaji wa Idara ya Magereza…

Soma Zaidi »
Tanzania

TAA yarudisha kwa jamii

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni tano…

Soma Zaidi »
Infographics

Waandikishaji watakiwa kuwa waadilifu

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Murtallah Mbillu amewataka waandikishaji kuwa waadilifu na wasimuonee mwanachi mwenye sifa ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Minara 279 imekamilika – Silaa

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano Teknolojia Habari, Jerry Silaa amesema jumla ya minara 279 kati ya minara 758 imekamilika na kuwashwa…

Soma Zaidi »
Fursa

Wanawake Kagera wapewa uwezo fursa za uvuvi

ZAIDI ya vikundi 100 vya wanawake wanaoishi kando ya visiwa vya Ziwa Victoria mkoani Kagera wameendelea kujengewa uwezo kupitia mashirika…

Soma Zaidi »
Back to top button