Year: 2024

Siasa

Asas: Vijana wamtetee Rais Samia

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salim Asas, amewasihi vijana wa chama hicho wasitumie mitandao…

Soma Zaidi »
Infographics

Rwepas sekondari wajiweka sawa maadili

WAZAZI wanaosomesha watoto wao katika shule ya Sekondari Rwepas iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwachunga watoto wao kwa kuepuka…

Soma Zaidi »
Featured

Jeshi la Israel laingia Lebanon

Wanajeshi wa ardhini wa Israel wamevuka mpaka kuingia kusini mwa Lebanon mapema leo kuwakabili wapiganaji wa kundi la Hezbollah. Hatua…

Soma Zaidi »
Featured

Fountain Gate mtihani Mbeya leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo maafande…

Soma Zaidi »
Biashara

Tantrade kupewa tuzo WTPO 2024

DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imeorodheshwa katika Tuzo za Shirika la Uendelezaji wa Biashara Ulimwenguni (WTPO)…

Soma Zaidi »
Tanzania

Miradi 22 kuzinduliwa chato

GEITA : MWENGE wa Uhuru 2024 umepokelewa katika Mkoa wa Geita na kuanza mbio zake Wilayani Chato kwa shughuli ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yaongoza utawala fedha za umma

DODOMA: MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu Tanzania   (NBAA), CPA Pius Maneno, amesema Tanzania…

Soma Zaidi »
Tanzania

Umeme kusambazwa vitongoji 134 Ruvuma

RUVUMA:SERIKALI  kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetenga shilingi bilioni 14.56 kwa ajili ya kusambaza umeme katika vitongoji 135 vya…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali yaja na mpango ajira kwa madaktari

DAR ES SALAAM  – NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema serikali…

Soma Zaidi »
Featured

Serikali yapewa mbinu kuilinda Shilingi

DAR ES SALAAM – WATAALAMU na wachambuzi wa masuala ya uchumi wameshauri yafanyike mambo matano kulinda thamani ya Shilingi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button