Year: 2024

Afya

Wataka mapambano malaria, dengue yawekwe pamoja

DAR ES SALAAM; Watafiti wametaka mapambano ya ugonjwa wa dengue na malaria yajumuishwe pamoja. Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Machi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenge wa Uhuru wakagua miradi ya Sh Bil 5 Iramba

SINGIDA; MWENGE wa Uhuru umekimbizwa umbali wa Km 68.1 umetembelea, umekagua, kuweka Jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

ACT wataka kiswahili iwe lugha ya kufundishia

DAR ES SALAAM; CHAMA cha ACT Wazalendo kimeishauri serikali kubadili sera na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia…

Soma Zaidi »
Featured

Twiga Stars dimbani kombe la Wanawake Tunisia 2024 leo

TIMU ya taifa ya mpira wa wa miguu kwa Wanawake(Twiga Stars) inashuka dimbani leo kuikabili Tunisia katika mchezo wa Kombe…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Kuna udanganyifu vipimo vya kopo, ndoo’

DAR ES SALAAM; WAKALA wa vipimo (WMA) umewataka wananchi kuachana na kununua bidhaa katika makopo, visado na ndoo na badala…

Soma Zaidi »
Biashara

Wadau washauri wa bima kukutana Arusha

DAR ES SALAAM :Wadau mbalimbali wa bima kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kukutana katika Mkutano Mkuu wa Mwaka…

Soma Zaidi »
Jamii

Kampeni ya Mama Samia yawatoa wafungwa, mahabusu 7000

DAR ES SALAAM: KAMPENI ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia imewahudumia wananchi 493,638 katika kipindi cha miezi 15 tangu…

Soma Zaidi »
Afya

Dkt. Mpango asisitiza elimu kuepuka maradhi

KIGOMA: MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango amesisitiza umuhimu wa wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kuwasaidia wananchi kwa kutoa…

Soma Zaidi »
Featured

Bandari bubu zatajwa mihadarati kuingia Z’bar

ZANZIBAR; MAMLAKA ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar imesema uchunguzi wao umeonesha dawa nyingi za kulevya zinazoingizwa visiwani humo…

Soma Zaidi »
Biashara

Wafanyabiashara 891 kurejeshwa sokoni Kariakoo

DAR ES SALAAM; MENEJIMENTI ya Shirika la Masoko ya Kariakoo, Dar es Salaam imetangaza orodha ya wafanyabiashara 891 wenye sifa…

Soma Zaidi »
Back to top button