Year: 2024

Safari

Safari za Dubai kufungua vivutio vya utalii, Uwekezaji

DUBAI: KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imesema kuanzishwa kwa safari za Dubai ni utekelezaji wa mpango wake wa biashara ambao…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwanafunzi afa kwa kuonja kemikali maabara

KATAVI: Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari St. Mary’s iliyopo Manispaa ya Mpanda Luis Emmanuel (17) amefariki baada ya kunywa…

Soma Zaidi »
Bunge

Idadi ya watalii yaongezeka kwa asilimia 96

DODOMA; WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watalii wa kimataifa kwa asilimia 96. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Dk Mwinyi ateua wawili sanaa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua Juma Chum Juma kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa…

Soma Zaidi »
Bunge

Wabunge waonya raia kubambikiwa kesi hifadhini

DODOMA; WABUNGE wamesema kumekuwa na malalamiko ya wananchi kukamatwa, kuteswa na kubambikiwa kesi na baadhi ya askari wa wanyamapori. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania, taasisi Uswis kushirikiana kutokomeza magojwa

GENEVA: Serikali ya Tanzania na Taasisi ya Global Fund zitaendelea kushirikiana katika vipaumbele vya Serikali vinavyolenga kutokomeza magonjwa ya Ukimwi,…

Soma Zaidi »
Jamii

Andengenye akemea ubabaishaji kwenye miradi ya wananchi

KIGOMA: MKUU wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye amewataka wasimamizi na watekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Kigoma kuhakikisha miradi hiyo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Miaka 30 tangu afariki, Maneti bado ‘anaishi’

LEO Mei 31, 2024, ikiwa imetimia miaka 34 tangu alipofariki gwiji wa muziki Tanzania na mwimbaji mashuhuri Hemed Maneti Ulaya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

DAS Same awapa somo wanafunzi Umiseta

KILIMANJARO: KATIBU Tawala wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Upendo Wella amewataka wanafunzi wa wilaya hiyo watakoshiiriki mashindano ya UMISETA…

Soma Zaidi »
Bunge

Ligi mashuhuri kutangaza utalii wa Tanzania

DODOMA: LIGI za michezo mashuhuri duniani ni miongoni mwa maeneo yatakayotumika kutangaza utalii wa Tanzania katika mwaka wa fedha 2024/25.…

Soma Zaidi »
Back to top button