Year: 2024

Bunge

Mitandao ya kijamii kutumika elimu kuhusu Muungano

DODOMA; SERIKALI imepanga kuongeza nguvu katika kutoa elimu ipasavyo kuhusu masuala ya Muungano kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya…

Soma Zaidi »
Bunge

Shigongo ahoji utaratibu kurejeshwa RPL

DODOMA; MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amehoji bungeni ni lini serikali itarejesha utaratibu wa kutambua Maarifa Nje ya Mfumo Rasmi…

Soma Zaidi »
Bunge

Watumishi 22,112 kuajiriwa afya, elimu

DODOMA; SERIKALI imesema katika mwaka 2023/2024 Serikali inatarajia kuajiri jumla ya watumishi 22,112 wakiwemo wa afya 10,112 na elimu 12,000,…

Soma Zaidi »
Bunge

Mbunge ahoji kigezo cha kuandika mtihani kujiunga VETA

DODOMA; MBUNGE wa Viti Maalum, Rose Tweve, amehoji bungeni kaa kigezo cha mtihani wa kuandika kabla ya kujiunga na Vyuo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waziri Mkuu kuanza ziara Geita kesho

GEITA: WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa anatarajiwa kuwasili mkoani Geita Ijumaa Mei 31, 2024 kwa ajili ya ziara ya siku tatu…

Soma Zaidi »
Bunge

Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Ujenzi

DODOMA; WABUNGE leo Mei 30,2024 wamepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka fedha 2024/2025 yenye vipaumbele tisa. Wizara ya…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali kuja na bajeti rasmi barabara zilizoharibiwa

DODOMA; SERIKALI imesema wakati wa bajeti kuu itakuja na tamko la bajeti mahususi kurejesha barabara zilizoharibiwa na mvua. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »
Afya

Maabara ya JKCI yatangazwa ubora duniani

DAR ESSALAAM: MAABARA ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) imepata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012) ya kutambuka kama maabara…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

FCC yajipanga hofu ya mlaji matumizi ya akili bandia

DAR ES SALAAM: Tume ya Ushindani nchini (FCC) imesema walaji wanahofu kuhusu matumizi ya akili bandia(mnemba) katika utoaji wa huduma…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Chama, Yanga ndoto za Abunuwasi

DAR ES SALAAM: KITENDAWILI cha hatma wa kiungo wa Klabu ya Simba, Clatous Chama kimeteguliwa baada ya nyota huyo kuongeza…

Soma Zaidi »
Back to top button