Year: 2024

Ulaya

Ronaldo ala nyekundu kwa kupiga

Abu Dhabi, UAE: NAHODHA wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo alitolewa nje kwa kadi nyekundu, baada ya timu yake kufungwa 2-1…

Soma Zaidi »
Biashara

TCB yaanza mwaka vizuri

DAR ES SALAAM :BENKI ya Biashara Tanzania (TCB),  imesema itaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kuwekeza…

Soma Zaidi »
Infographics

Ulinzi waimarishwa usiku wa UEFA

HISPANIA; ULINZI mkali utaimarishwa kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia taarifa ya chombo kimoja cha habari kilichoripotiwa kuunga…

Soma Zaidi »
Afya

Watoto 50 kufanyiwa upasuaji bure MOI

DAR ES SALAAM; WATOTO 50 wenye tatizo la Vichwa vikubwa na Mgongo wazi watafanyiwa upasuaji bure katika kambi maalum itakayofanyika…

Soma Zaidi »
Jamii

UDSM waja kivingine zaidi

DAR ES SALAAM; WANATAAALUMA 268 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM), wameanza masomo katika robo ya pili…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwenge kukagua miradi 87 Tanga

TANGA; Mwenge wa Uhuru unaanza mbio zake leo mkoani Tanga, ukitokea mkoani Kilimanjaro na unatarajiwa kupitia mradi 87 yenye thamani…

Soma Zaidi »
Jamii

TCRA: ‘Kumtag’ mtu picha chafu ni uhalifu

SHINYANGA; MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka watumiaji wote wa mitandao ya kijamii, ambao wamekuwa wakikuta wameunganishwa (tagged) na picha…

Soma Zaidi »
Siasa

ACT Wazalendo kutoa nafasi kwa wanawake

DAR ES SALAAM; NAIBU Mwenezi wa Chama cha  ACT Wazalendo, Shangwe Ayo amesema chama hicho kitaendelea kuwapa nafasi wanawake katika…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Mvua si kikwazo tena kwa bodaboda

DAR ES SALAAM: UBUNIFU na usasa humsaidia mwanadamu kuvumbua njia kadha wa kadha ili kutatua adha na changamoto zinazomkabili katika…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

We proceed with our topic SWAHILI -ENGLISH VOCABULARY bepari,ma-,.                                                       Capitalist bia,.                                                                    beer,share;partnership(in business) biashara,                                                           trade,business bibi,ma-,.                                                            grandmother,lady -bichi,.                                                                 unripe,uncooked bidhaa,.                                                              …

Soma Zaidi »
Back to top button