Year: 2024

Dodoma

Majaliwa aagiza nguvu zaidi Rufiji

MLIMWA, Dodoma: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Timu ya Mawaziri itakwenda Wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kuungana…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Aprili 10 ni Eid al Fitri’

DAR ES SALAAM: MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally amethibitisha mwandamo wa mwezi wa Shawwal. Akitoa taarifa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mashujaa waichinja Simba Kigoma

KIGOMA: MASHUJAA FC imekata tiketi ya kucheza hatua ya Robo Fainali ya Kombe La Shirikisho la CRDB baada ya kumfunga…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Simon Harris Waziri Mkuu  Ireland

DUBLIN, IRELAND: BUNGE la Ireland limemchagua Simon Harris kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo. Harris anakuwa Waziri Mkuu mwenye…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Hata mfungo ukiisha tuendeleze mambo mema’

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka Waumini wa dini ya…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Mafuriko Rufiji chanzo si Bwawa la Nyerere’

RUFIJI: Chanzo cha mafuriko Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani kimetajwa kuwa ni uvamizi wa wananchi katika mkondo wa mto na…

Soma Zaidi »
Jamii

Watu 83,000 wanahitaji msaada Rufiji

PWANI: MUU wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele amesema wilaya yake ina  jumla ya kata 13 kati ya hizo…

Soma Zaidi »
Jamii

Kinana ataka misaada zaidi waathirika Rufiji

PWANI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka serikali kuharakisha huduma kwa wananchi wa Rufiji waliopata maafa ya mafuriko, huku uvamizi wa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Miradi izingatie thamani ya fedha’

TANGA: KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Godfrey Mzava, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kusimamia ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Wanawake

Tanzania yang’ara uwezeshwaji wanawake

DODOMA; TANZANA imepiga hatua katika uwezeshwaji wanawake ngazi za maamuzi, ambapo wanawake wengi wamepewa nafasi kuongoza sekta mbalimbali. Akizungumzia kuhusu…

Soma Zaidi »
Back to top button