Year: 2024

Tanzania

Mbunge asikitishwa kuona shule haina vyoo

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood amesikitishwa baada ya kubaini kutokuwepo na vyoo vya wanafunzi zaidi 1,000 na …

Soma Zaidi »
Afya

“Wataalam wa afya kuweni na weledi”

WATAALAM wa sekta ya  afya mkoani Mtwara wametakiwa kuzingatia weledi wanapowahudumia wagonjwa kwenye maeneo yao ya kazi. Rai hiyo imetolewa wakati…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia ateua naibu katibu mkuu wizara ya nishati

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Dk James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati. Taarifa hiyo imetolewa leo…

Soma Zaidi »
Infographics

Wapewa mbinu kuongeza utalii wa mikutano

VIONGOZI wa vyama vya kitaaluma nchini wamepewa mbinu za namna ya kuongeza utalii wa mikutano, ambao ni sehemu ya uchumi…

Soma Zaidi »
Biashara

Rais Samia kubariki Jukwaa la kodi na uwekezaji

ARUSHA; RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufungua jukwaa la kodi na uwekezaji mwaka huu, lililoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Viongozi taasisi za serikali hatarini kukosa mshahara

IRINGA; WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuagiza Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Davido aikumbuka jamii yenye uhitaji

NIGERIA: Msanii kutoka nchini Nigeria David Adeleke maarufu ‘Davido’ na Taasisi yake wametangaza kutoa kiasi cha Naira milioni 300 ambayo…

Soma Zaidi »
Jamii

Aua mke, ajinyonga kwa kilemba

KIGOMA;  Rashidi Hussein Mkayaga mkazi wa Mtaa Gemu, Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji, amejinyonga kwa kutumia kilemba cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dk Mapana awaita wasanii BASATA

DAR ES SALAAM: Wasanii wa sanaa mbalimbali wametakiwa kujisajili katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa lengo la kupatiwa…

Soma Zaidi »
Utalii

DK Mwinyi: Wananchi changamkieni fursa katika utalii

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuchangamkia fursa mbalimbali za…

Soma Zaidi »
Back to top button