Year: 2024

Tanzania

Watu 900,000 wajiandikisha vitambulisho vya NIDA Geita

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ofisi za Mkoa wa Geita imefanikiwa kuandikisha watu 922,000 kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho…

Soma Zaidi »
Biashara

Mitambo 2 kuzalisha umeme kuwashwa JNHPP Machi

TANGA; Makamu wa Rais  Dk. Philip Mpango, amesema  mwezi Machi mwaka huu itawashwa mitambo miwili ya kuzalisha umeme katika Bwawa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa awapigia chapuo Wakandarasi wazawa

DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ndoa ya Bayern, Tuchel kuvunjika Juni

KOCHA mkuu wa vigogo wa soka wa Ujerumani Bayern Munich, Thomas Tuchel ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. Vyombo…

Soma Zaidi »
Africa

Waziri Mkuu DR Congo ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa DR Congo, Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu. Lukonde aliwasilisha ombi la kujiuzulu kwa Rais Felix Tshisekedi. Sasa atajiunga…

Soma Zaidi »
Infographics

Mavunde awaita wawekezaji nchini

TANGA: WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amewakaribisha wawekezaji wa viwanda vya uzalishaji wa betri za magari ya umeme na vifaa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbappe, Madrid ngoma inogile

PARIS, Ufaransa: TETESI kutoka vyombo mbalimbali vya habari barani Ulaya vinaeleza kuwa nyota wa klabu ya Paris St-Germain (PSG), Kylian…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nsue atundika daluga kiheshima E.Guinea

HISPANIA: MSHAMBULIAJI bora wa Michuano ya Mataifa Afrika (AFCON 2023), Emilio Nsue Lopez ametangaza kustaafu kuhudumu timu ya taifa baada…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wizara ya Elimu kinara matumizi ya nishati safi ya kupikia

DODOMA: Taasisi za umma zinazolisha watu zaidi ya 100 kwa siku kutoka katika wizara sita zimetekeleza maelekezo ya Serikali ya…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Dk Mwinyi amteua Sharrif Ali Sharrif

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua Sharrif Ali Sharrif kuwa waziri…

Soma Zaidi »
Back to top button