Vicky Kimaro

Jamii

‘Shirikianeni na serikali vita dawa za kulevya’

Dodoma: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewatakwa viongozi wa dini kushirikiana na serikali katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya. Majaliwa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Wananchi wamechangia mabadiliko viongozi Mtwara’

MTWARA; SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kusini, imesema panguapangua ya baadhi ya viongozi mkoani Mtwara imesababishwa…

Soma Zaidi »
Madini

Maabara ya MSA kivutio upimaji madini

GEITA; ZAIDI ya sh bilioni 5 za Kitanzania zimewekezwa katika maabara ya MSA inayopima sampuli za madini kwa kiwango cha…

Soma Zaidi »
Madini

Waziri Mavunde awapa neno wadau wa madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema serikali itahakikisha inasimamia kwa ufanisi kampuni zote za uwekezaji kwenye sekta ya madini ziweze…

Soma Zaidi »
Jamii

Waandishi wapewa ‘dawa’ kukwepa rushwa ya ngono

DSM; MKURUGENZI  Mstaafu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa), Dk. Ananilea Nkya amesema rushwa ya ngono inaweza kukomeshwa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Rushwa ya ngono kikwazo wanawake kupanda uongozi’

MKURUGENZI Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa),  Rose Reuben amesema rushwa ya ngono ni moja ya visababishi…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanahabari wanyooshewa kidole rushwa ya ngono

DSM; UKOSEFU wa mikataba ya ajira, kipato duni imetajwa kuwa  blanketi zito lililofunika tasnia ya habari na kuchochea rushwa ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Asilimia 60 watuhumiwa rushwa ya ngono ni vyuoni

DSM; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni imesema kuwa asilimia 60 ya waliokamatwa wakituhumiwa rushwa…

Soma Zaidi »
Biashara

Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

DSM; KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah,  amesema Ofisa yeyote wa Serikali  atakayekwamisha ufanyaji biashara,…

Soma Zaidi »
Podcast

Habari Kuu Septemba 27, 2023

Habari Kuu katika chumba cha HabariLEO Septemba 27, 2023.  

Soma Zaidi »
Back to top button