Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Bunge

Majaliwa ataka wadau wahusishwe mafuta

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametaka kuhusishwa kwa wadau mbalimbali wa masuala ya mafuta, zikiwemo taasisi za uagizaji mafuta nchini. Waziri…

Soma Zaidi »
Bunge

Majaliwa ampa maagizo Biteko suala la mafuta

DDODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko kushughulikia suala la upatikanaji…

Soma Zaidi »
Bunge

Fidia hutolewa watumishi magonjwa ya milipuko

DODOMA; SERIKALI imesema huwa inatoa fidia kwa watumishi wa afya waliofariki kwa sababu za kuwahudumia wagonjwa wa milipuko na magonjwa…

Soma Zaidi »
Bunge

Asilimia 60 madini ujenzi Dar yanazalishwa Pwani

DODOMA; Asilimia 60 ya madini ujenzi yanayotumika kwenye ujenzi wa miradi ya kimkakati katika Mkoa wa Dar es Salaam huo…

Soma Zaidi »
Bunge

Tafiti zabaini aina 47 mimea vamizi

DODOMA; Serikali imesema hadi sasa tafiti zimebaini aina 47 za mimea vamizi katika maeneo yaliyohifadhiwa. Naibu Waziri wa Maliasili na…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Marekebisho ya sheria yataboresha ufanisi ‘

DODOMA; Wabunge wameipongeza Serikali kwa kuwasilisha bungeni marekebisho ya sheria kwa lengo la kuboresha ufanisi na kuendana na mabadiliko ya…

Soma Zaidi »
Bunge

Walipa kodi 4,696,999 wamesajiliwa na TRA

DODOMA; SERIKALI imesema hadi kufikia Juni 30, 2023 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ilikuwa imesajili jumla ya walipa kodi 4,696,999,…

Soma Zaidi »
Bunge

Watanzania 11,242,736 wamwpata vitambulisho NIDA

SERIKALI imesema hadi kufikia Julai 31, 2023 jumla ya Watanzania 11,242,736 wamepewa vitambulisho sawa na asilimia 55 ya lengo la…

Soma Zaidi »
Bunge

Tanzania ina madaktari bingwa wazalendo 2,469

Tanzania ina madaktari bingwa wazalendo 2,469, Bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ametoa kauli hiyo leo bungeni…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali: Gunia ni kifungashio sio kipimo

DODOMA; Serikali imesema haitambui gunia kuwa kipimo bali ni kifungashio, Bunge limeelezwa. Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 6, 2023 na…

Soma Zaidi »
Back to top button