Mwandishi Wetu

Dini

Sheikh Mkoa wa Dodoma ampa tano Mavunde

WAUMINI na viongozi wa dini wa Kiislamu wakiongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajabu Shaban, wamemshukuru Mbunge…

Soma Zaidi »
Biashara

TPDC kuongeza tija uzalishaji gesi

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kukarabati kisima namba moja cha kuzalisha gesi asilia Mnazi Bay, mkoani Mtwara, …

Soma Zaidi »
Africa

Rais Kagame, Mwenyekiti Star Times wateta

RAIS Paul Kagame wa Rwanda na Mwenyekiti wa Kampunini za Star Times wamekutana na kufanya mazungumz. Taarifa iliyotolewa na Star…

Soma Zaidi »
Jamii

Watakiwa kuwekeza kilimo ch vanila

WANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kutambua faida zilizopo katika kilimo cha vanilla na kujikita kuwekeza katika kilimo…

Soma Zaidi »
Jamii

Wakimbizi wagoma kurejea Burundi, wataka waende Ulaya

LICHA ya WAKIMBIZI wa Burundi wanaohifadhiwa kwenye kambi ya Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma kutokuwa na sifa ya kwenda nchi…

Soma Zaidi »
Afya

128 wapata huduma ya puto kupunguza uzito

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia…

Soma Zaidi »
Jamii

Mbaroni akidaiwa kutusi viongozi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata mkazi wa Kigamboni, Selemani Agai Gaya (18) ambaye anatuhumiwa  kutoa…

Soma Zaidi »
Infographics

Ataka uadilifu ujenzi wa Sekondari Kagunga

Wananchi wa Kijiji cha Kagunga Kata ya Kasekese Halmashauri ya Wilaya Tanganyika mkoani Katavi, wameishukuru serikali kwa kutoa zaidi ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Kinana: Rais Samia amefanya makubwa kwenye  kilimo

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya kilimo na mchango wake…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kuboresha ruzuku ya pembejeo

SERIKALI imejipanga kuendelea kuboresha sekta ya kilimo kuelekea msimu mpya kwa kutoa ruzuku ya pembejeo kwa mazao yote tofauti na…

Soma Zaidi »
Back to top button