Na Sauli Gilliard

Bunge

Serikali yaja na ‘dawa’ watumishi wanaohama

SERIKALI imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kutoidhinisha maombi ya kuhama yanayowasilishwa na watumishi wapya wanaopangiwa vituo vyao vya kazi katika maeneo…

Soma Zaidi »
Infographics

Feisal achangisha fedha aishitaki Yanga

KIUNGO wa Yanga mwenye mgogoro na klabu hiyo,  Feisal Salum maarufu Feitoto, amewaomba mashabiki wake na mashabiki wa mpira wa…

Soma Zaidi »
Podcast

Habari Kuu Mei 25, 2023

HABARI KUU. Mkusanyiko wa habari leo Mei 25, 2023 

Soma Zaidi »
Jamii

Mbio za wajawazito zazinduliwa Tanga

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amezindua mbio za mama mjamzito zijulikanazo kama ‘Mamathon’, ambazo zina lengo…

Soma Zaidi »
Biashara

Swissport yajivunia faida mwaka 2022

MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Swissport Tanzania, Mrisho Yassin amesema licha ya changamoto ya ugonjwa wa Uviko-19, bado kampuni hiyo…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Bima sio kwa matajiri tu’

WANANCHI wengi hawana uelewa kuhusu masuala ya bima kwa kufikiria kuwa ipo kwa ajili ya matajiri pekee tofauti na uhalisia…

Soma Zaidi »
Jamii

Wakutana kuweka mikakati mabadiliko tabianchi

WADAU wa mtandao wa mabadiliko ya tabianchi na jinsia wamekutana kujadili namna bora ya kufanya kazi kwa pamoja, ili kukabiliana…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Ni bajeti ya kutatua migogoro, umilikishaji ardhi’

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Dk Angeline Mabula amewasilisha liidhinishe kiasi cha Sh bilioni 171.4 ili…

Soma Zaidi »
Bunge

Jina la Kijiji Mpigamiti gumzo bungeni

Baada ya kumalizika kipindi cha Maswali na Majibu bungeni leo asubuhi, ndipo Mbunge wa jimbo Sikonge George Kakunda alipoomba mwongozo,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mambo muhimu Yanga, USM Algers

KUELELEA mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Yanga dhidi ya USM Algers hizi ni namba muhimu kuelekea mchezo…

Soma Zaidi »
Back to top button